Je mwanzo wa mwisho wa Bashir umewadia baada ya 'waarabu' wa Sudan kujitambua?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
471269-01-02.jpg

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Khartoum wameamua kuutolea uvivu utawala wa muda mrefu wa kidikteta wa Omar Bashir kwa kuwataka wananchi waamke na kuuangusha wazi wazi. Pichani askari wakitumia nguvu kuwatawanya wanafunzi ambao wamekuwa wakiandamana kwa siku tano mfululizo. Kwa habari zaidi
BONYEZA hapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom