Je mwanamke uko tayari?

ntakupa pipi uthinune bathi...mi apenda dole ako wewe..mh!!!!!!
ujichoooooooooooo....jamani ujiiiicooooooooo....hkyanani hata toto linalolia ukilitazama tu lanyamaza:welcome:pipi ntakuwa kibogoyo...nimigoma!!
 
mi sichagui kakangu ila nisichotaka ni MWANAUME MWENYE MBWEMBWE ,MAJIGAMBO,ANAYEJIBUST ...APANA

napenda mwanaume wa kawaida ..asiye na makuu ,wakawaida tu,anayevaaa simpo siyo manguo ya gharama sana apana ni kawaida tu cz i do believe mwanaume anayevaa masut daily pasipo sababu maalumu,anayevaa machen ,maviatu ya laki 5 namchululia km ana matatizo..napenda usafi na si mambo ya show off...
mwanaume kwangu ninamthamin kwa up stairs yake awe km;
..controler wangu
..director wangu
..advicer wangu

YAAN AWE KIMBILIO LANGU KWA CHOCHOTE NITAKACHOSHINDWA/UWEZO WANGU WA UBONGO UTAKAPOISHIA BAS ANIPE TAFU...n nt material thng..
sipend wanasesere au wanaojifanya km wametoka na kat ya kinshasa....m simple by nature so napendsa mwanaume simpo km mimi ..mimi sipak sjirembi ata poda sigusi iweje sasa men wangu awe abanduki dresssng trebo na mapoda kumi kumi ,wanja ,lip stk....ohhh no for that case nakuruhusu uniite nachagua sana bt MANJONJO BOY noooo apa hawana nafasi

Nakubaliana na wewe Rose, ndio maana na mimi nimesema sihitaji mwenye makuu mengi.
 
uko makazini katika pitapita yako hujakutana nao kaka, maana kwa wanaume ni rahisi si kama kwa wadada wao mpaka wafuantwe, humu ni keyboard tu hizi ila kila la kheri
 
Rose, maty,michele, afrodenzi,husninyo nk nadhani bado mko single hamwezi jua kwanini mmejiungaJF huenda Mungu kapanga mtapata wachumba humu humu hivo jaribuni kupanga kukutana na huyu bwana.nawapa mbinu za kukutana. .unaweza kuwasiliana na huyu bwana mkutane pahala fulani grocery,bar au popopte pa wazi,jitambulishe umevaa vazi fulani na umekaa karibia na counter au meza ya mafichoni lakini usiwe umevaa vazi ulomwambia na wala usikae sehemu ulipomwagiza we kaa meza ambayo utamwona kila anaengia hapo bar ,weka simu yako vibration na iweke juu ya meza, na jifanye unasoma gazeti, wkt huyu bwana anakuja lazima atakupigia ajue kama ww ndo anakutafuta we angalia anaengia akizungusha zungusha shingo huku kashika simu atakuwa ndo yeye,kama ukimwona anafanana na Idd amin au pablo escobar basi sepa kimya kimya, kama ukimwona ana mweleko wa kueleweka basi mpungie mkono kiaina akufuate ulipo.hakuna kuogopa dada zangu.
 
Habari zenu wana JF,

Mwaka huu nipo katika harakati za kutafuta mchumba katika mazingira ninayoishi na kwingineko, nimeona sio vibaya pia nikiweka wazi nia yangu hapa ili mwanamke yoyote anayedhani namfaa au ananifaa tuweze kuwasiliana, pengine hapa ndio mahali ambapo Mungu amepanga hasa tukutane.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 (kijana wa makamo), ninafanya kazi katika kampuni binafsi, mrefu kiasi, mweusi mwenye umbo la wastani. Ninaishi Arusha na Dar -es –Salaam.

Natafuta mchumba mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 18 – 30. Elimu kuanzia ya sekondari na kuendelea, awe anafanya kazi au awe tayari kufanya kazi ya kujiajiri au kuajiriwa. Awe mkristu au kwa ambaye sio mkristu awe tayari kubadili dini. Awe mcha Mungu, anayejiheshimu, asiye na majivuno wala mwenye makuu, mwenye tabia nzuri na mpenda maendeleo
kwa ujumla.

Kwa mwenye nia ya dhati tu, aniPM au kuniandikia e-mail kupitia onyango.alex@gmail.com

Maoni yanakaribishwa pia.

Kutafuta mchumba kwa staili hii kuna haya ya kuangalia :-
1) Utashawishika kumjaribu kila mwanamke atakae jitokeza kama ana sifa unazotaka, kwahiyo unaweza usionekane mwaminifu kwa kila unaempata
2) Ni wazi kwamba huwezi kuanza kumpenda mwanamke papo hapo, badala yake utamchunguza kwanza, kwa hiyo mwanamke anaweza kuhisi kupotezewa muda
 
Rose, maty,michele, afrodenzi,husninyo nk nadhani bado mko single hamwezi jua kwanini mmejiungaJF huenda Mungu kapanga mtapata wachumba humu humu hivo jaribuni kupanga kukutana na huyu bwana.nawapa mbinu za kukutana. .unaweza kuwasiliana na huyu bwana mkutane pahala fulani grocery,bar au popopte pa wazi,jitambulishe umevaa vazi fulani na umekaa karibia na counter au meza ya mafichoni lakini usiwe umevaa vazi ulomwambia na wala usikae sehemu ulipomwagiza we kaa meza ambayo utamwona kila anaengia hapo bar ,weka simu yako vibration na iweke juu ya meza, na jifanye unasoma gazeti, wkt huyu bwana anakuja lazima atakupigia ajue kama ww ndo anakutafuta we angalia anaengia akizungusha zungusha shingo huku kashika simu atakuwa ndo yeye,kama ukimwona anafanana na Idd amin au pablo escobar basi sepa kimya kimya, kama ukimwona ana mweleko wa kueleweka basi mpungie mkono kiaina akufuate ulipo.hakuna kuogopa dada zangu.
haha hahah umenichekesha....dah mbona km akiwa kafanana na PABLO ESCOBER itakuwa mzuka sana...
haya bwna mungu labda kapanga tupate wenza jf...basi ntamwambia tumit eneo...ntakupa repot kamil km ni mjukuu wa remy ongala au ana undugu na masud masud...
 
Habari zenu wana JF,

Mwaka huu nipo katika harakati za kutafuta mchumba katika mazingira ninayoishi na kwingineko, nimeona sio vibaya pia nikiweka wazi nia yangu hapa ili mwanamke yoyote anayedhani namfaa au ananifaa tuweze kuwasiliana, pengine hapa ndio mahali ambapo Mungu amepanga hasa tukutane.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 (kijana wa makamo), ninafanya kazi katika kampuni binafsi, mrefu kiasi, mweusi mwenye umbo la wastani. Ninaishi Arusha na Dar -es –Salaam.

Natafuta mchumba mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 18 – 30. Elimu kuanzia ya sekondari na kuendelea, awe anafanya kazi au awe tayari kufanya kazi ya kujiajiri au kuajiriwa. Awe mkristu au kwa ambaye sio mkristu awe tayari kubadili dini. Awe mcha Mungu, anayejiheshimu, asiye na majivuno wala mwenye makuu, mwenye tabia nzuri na mpenda maendeleo
kwa ujumla.

Kwa mwenye nia ya dhati tu, aniPM au kuniandikia e-mail kupitia onyango.alex@gmail.com

Maoni yanakaribishwa pia.

Tulioachika na sie tunaweza kuapply???
 
uko makazini katika pitapita yako hujakutana nao kaka, maana kwa wanaume ni rahisi si kama kwa wadada wao mpaka wafuantwe, humu ni keyboard tu hizi ila kila la kheri

Hujasoma post yangu vizuri, nilisema hapa ni mojawapo ya sehemu nayotumia kutafutia ila siyo sehemu pekee.
 
Rose, maty,michele, afrodenzi,husninyo nk nadhani bado mko single hamwezi jua kwanini mmejiungaJF huenda Mungu kapanga mtapata wachumba humu humu hivo jaribuni kupanga kukutana na huyu bwana.nawapa mbinu za kukutana. .unaweza kuwasiliana na huyu bwana mkutane pahala fulani grocery,bar au popopte pa wazi,jitambulishe umevaa vazi fulani na umekaa karibia na counter au meza ya mafichoni lakini usiwe umevaa vazi ulomwambia na wala usikae sehemu ulipomwagiza we kaa meza ambayo utamwona kila anaengia hapo bar ,weka simu yako vibration na iweke juu ya meza, na jifanye unasoma gazeti, wkt huyu bwana anakuja lazima atakupigia ajue kama ww ndo anakutafuta we angalia anaengia akizungusha zungusha shingo huku kashika simu atakuwa ndo yeye,kama ukimwona anafanana na Idd amin au pablo escobar basi sepa kimya kimya, kama ukimwona ana mweleko wa kueleweka basi mpungie mkono kiaina akufuate ulipo.hakuna kuogopa dada zangu.

Duh, ushauri huo kina dada mshindwe wenyewe. Mhhh! lakini mbona bora kutumiana picha ili ukiona huridhiki na mwenzako unamwambia huko huko kuliko kupeana miadi hewa?
 
kaka m2 anaweza kuku2mia picha ukaiona mbaya ila ukimuona tofauti anavutia na anaweza kuku2mia picha nzuri kumbe do salale ukimuöna ki2ko so usipende kuamini picha nakushauri pendelea kuona m2 live not just a picture kutoka kwa facebook or whatever. Be careful mpenzi ndoa sio mchezo
 
Asante Maty kwa ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom