Je mwanamke nurse utaishinaye vp?

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Ndugu zangu, kwa experience niliyonayo nimegundua kuwa ndoa inayohusisha mwanamke ambaye ni nurse inakuwa mateso. Kama mjuavyo hawa manurse wanakuwa na 'night' na nimegundua kupitia hzo night hawa wanawake huwasaliti waume zao kwa kutembea na madaktari! Mwanamke anaweza kuwa mwaminifu kwa kipindi flani kwenye ndoa lakini kulingana na nature ya kazi yake kuwa na 'night' anajikuta ashaingia kwenye vishawishi! Naomba sana kwa wanaume ambao wameo manurse na wameishi nao kwa zaidi ya miaka 15, watujuze ni kwa jinsi gani wameweza kukabiliana na hizi challenges.
 
Kazi ya mtu sio kigezo cha kutokua mwaminifu...bali ni tabia binafsi!Hata unaelala nae usiku kucha anaweza kucheat!Angalia tabia ya mtu kwa kumchunguza yeye kama yeye na sio kazi anayofanya!
 
Hivi kumbe aaee..
duuhh pole kama yamekuukuta

My dear mie naona ikija kwenye
haya mambo yakutoka nje ya ndoa
Haichagui kazi ya mtu..
bali ni mtu na tabia zake..

Maana tukianza hivi
Hatuta maliza
tutaingia kwa wanawake mapolisi, marubani,
Office workers, n.k
Sababu shughuli kama hizo zina night shift to..
 
u are right lizzy i clap for you....
Kazi ya mtu sio kigezo cha kutokua mwaminifu...bali ni tabia binafsi!Hata unaelala nae usiku kucha anaweza kucheat!Angalia tabia ya mtu kwa kumchunguza yeye kama yeye na sio kazi anayofanya!
 
Unaoa kazi au mtu???

Tuwaulize na madaktari wanoingia night basi.

Wewe huwezi kujaji mtu kwa kazi yake bana angalia tabia yake na mwenendo wake na ujiridhishe
 
Kweli tabia ya kutoka nje haitokani na kazi Mtu anayofanya, lakini ngoja niwape kisa kimoja ambacho nakijua kilitokana na Mke Nurse. Kuna Jamaa kabla ya kuoa Wanawake ambao alikuwa hawapendi walikuwa wale Manesi, lakini ulpofika muda wa kuo akajikuta ameoa Nesi.Kama kawaida mara wiki Night ijayo off, siku ambayo aliktakiwa awe Off akaenda kazini na akamwambia Mumewe anamshikia zamu Mwenziwe ambaye amepata mataizo ya kifamilia, Jamaa akakubali. Usiku Mtoto akaugua na zama hizo hizi cmu za mkononi hazikuwepo.Jamaa akamchua Mtoto mpaka hospital anayofanyiia kazi Mkewe. Baada ya kuonekana hali ya mtoto kuwa mbaya ikabidi alazwe na ndipo Jamaa akaanza kumtafuta Mkewe ili amuachie Mtoto, lakini kumbe Mama hakuwepo alikuwa yuko kona. Jamaa akarudi nyumbani na asubuhi Mama akaja tena kavaa nguo zake za kazini na alimkuta mumewe anajiandaa kurudi hospital. Kilichotokea sitaki kuwaambia kwa sababu nitaandika mambo ambayo yatawachosha hata kusoma.
 
duh mkuu kwa hili huna point.. kama ishu ni kucheat watu wanacheat mchana kweupe, sio mhasibu, docta, engineer, nurse au fundi cherehani! ni mtu tu na tabia zake haijalishi unafanya kazi usiku au mchana
 
Hivi wanaofanya kazi za shifti ni manesi peke yao?

Hivi kutokuwa mwaminifu inaendana na proffesion ya mtu?

Hii ni karne ya ngapi watu tunajadili vitu kama hivi?......Am outta here!
 
Hivi kumbe aaee..
duuhh pole kama yamekuukuta

My dear mie naona ikija kwenye
haya mambo yakutoka nje ya ndoa
Haichagui kazi ya mtu..
bali ni mtu na tabia zake..

Maana tukianza hivi
Hatuta maliza
tutaingia kwa wanawake mapolisi, marubani,
Office workers, n.k
Sababu shughuli kama hizo zina night shift to..

sina nyongeza big up mamito!!!
 
Jumatatu njema hii, asubuhi asubuhi nakutana na hii CRAP!! huh, ngoja nisepe!
 
Ku-cheat hilo ni jambo lililokuwepo tangu enzi hizo. Nani kati yenu hajawahi ku-cheat?????????Mdomo wako unaweza kusema hapana haujawahi ku-cheat lakini ROHO yako inajua umeshawahi. Na kwanini uinyime roho yako kitu inapenda???? Lakini angalia ukimwi
 
Mimi mke wangu ni nurse na kwasasa tuna miaka 11 yandoa!Mimi sijawahi kuwa nawasiwasi kuwa akienda night antembea na madkitari na nikwambie wanaheshimu taaluma yao hao madakitari na manurse kama ikitoke nikama kwa wengine waliopo nje ya taaluma ya unesi,mfano karani secretary,mtunza fedha,makanika!!kazi siyokigezo cha kumfanya ashawishike!Je wale wanaofanyia watu massage unasemaje juu yao??
 
Ndugu zangu, kwa experience niliyonayo nimegundua kuwa ndoa inayohusisha mwanamke ambaye ni nurse inakuwa mateso. Kama mjuavyo hawa manurse wanakuwa na 'night' na nimegundua kupitia hzo night hawa wanawake huwasaliti waume zao kwa kutembea na madaktari! Mwanamke anaweza kuwa mwaminifu kwa kipindi flani kwenye ndoa lakini kulingana na nature ya kazi yake kuwa na 'night' anajikuta ashaingia kwenye vishawishi! Naomba sana kwa wanaume ambao wameo manurse na wameishi nao kwa zaidi ya miaka 15, watujuze ni kwa jinsi gani wameweza kukabiliana na hizi challenges.

My nth GF alikuwa NURSE, tukiwa katika mipango ya Harusi, nilimpitia siku moja usiku kazini kwake nikakuta anabanjuliwa na Daktari waliyekuwa naye zamu usiku katika "dressing room" - Sijawahi kumuona tena since then!
 
Ndugu zangu, kwa experience niliyonayo nimegundua kuwa ndoa inayohusisha mwanamke ambaye ni nurse inakuwa mateso. Kama mjuavyo hawa manurse wanakuwa na 'night' na nimegundua kupitia hzo night hawa wanawake huwasaliti waume zao kwa kutembea na madaktari! Mwanamke anaweza kuwa mwaminifu kwa kipindi flani kwenye ndoa lakini kulingana na nature ya kazi yake kuwa na 'night' anajikuta ashaingia kwenye vishawishi! Naomba sana kwa wanaume ambao wameo manurse na wameishi nao kwa zaidi ya miaka 15, watujuze ni kwa jinsi gani wameweza kukabiliana na hizi challenges.

...mnh, wivu au ugonjwa?
dhana ni sawa na gari, wewe ni dereva wa mawazo yako.
...Kwa wenye mioyo dhaifu, bora waoe mke mtangazaji televisheni.
Kila wakati anamuona kwenye runinga akisoma taarifa ya habari!

Back
Top Bottom