Je mtu huzaliwa na ubaya au hufunzwa na walimwengu?

Chibwera

Member
Oct 20, 2011
25
11
Wana JF naomba mnisaidie katika jambo hili, nimekuwa nikisikia watu wakatumia sana msemo huu kuwa ubaya hawakuzaliwa nao bali wamefundishwa na ulimwengu, je hii ni kweli?
 
Nadhani tabia ya mtu inaathiriwa na Mazingira husika, japo sio kwa 100%
 
hakuna binadamu mbaya, ispokuwa kuna binadamu wanamfanya binadamu awe mbaya. Nalog off
 
Mtu amejengwa na 40% kurithi na 60% mazingira, hapo naongelea kila kitu katika mtu! kuanzia muonekano hadi hiyo tabia!
 
Kuna wa2 wanakuWa na ubaya kutokana na kurithi kutoka ktk ukoo,wengne mazngra yanaWashape kuwa wabaya.
 
... LAKINI!! Haijalishi kuwa UBAYA ... unazaliwa nao au unaupta baada ya kuzaliwa! Jambo la Msingi ni kuachana nao na hilo linawezekana kwa Wote! Hatupendi kuendelea kuwa na Jamii ya binadamu na Ubaya jambo ambalo sio Utu wa ubindamu ...yaani sio UASILI halisi wa mwanadamu!! Lazima Utu na Ubindamu uruhusiwe kuchukua hatamu ..!!
 
Yote mawili ni sawa. Ubaya mtu anazaliwa nao na pia jamii inayomzunguka au ulimwengu kama ulivyosema waweza kumfunza mtu ubaya.
 
hakuna mwanadamu anayezaliwa na ubaya, ubaya hujengwa kutokana na mazingira, mikasa, aina ya watu unaoishi nao na makuzi/malezi. kwa mfano mtoto hujifunza kutoka kwa wazazi na jamii inayomzunguka, aina ya maisha anayoishi.
 
Back
Top Bottom