Je mtoto ulie nae ni wako??

Fl valentine hii wengine lazima tuwashtue kidogo sio kutumiana keki tu keki mtoto anaekula wa kwako
am kid....jamani topic closed
 
Hata Mungu alimshauri Ibrahim amtimue Ishmail mtoto wake mwenyewe kisa tu ni aliyezaliwa nje ya ndoa.
nadhani ishu inakuwa serious zaidi ikiwa mtoto siyo wako kabisa.
Pimeni dna jAmani. itawasaidia wadada kujitunza kabla ya ndoa
 
Mtoto wangu ameingia std 7 this yr! Wala huwezi kuuliza. Utadhani tumezaliwa tumbo moja. Wengi wakiniona nae wanadhani ni mdogo wangu kwa jinsi tunavyofanana!

Mambo ya ndoa ni mengi ila ukweli kwamba kuna watoto wa ndoa unabaki palepale ingawa haikatai kwamba kuna "watoto wa nje ya ndoa" ndani ya ndoa!
 
hdi sasa siamini kama baba yangu ndiye ata mama yangu anajua hilo,niliwahi kusema waziwazi mbele yao(wazazi) nikiwa darasa la saba.
 
i think hiyo data ya 44.77 % sio ya familia katika jamii kwa ujumla ila ni data ya wale waliokuwa tayari wana wasiwasi na watoto wao so haiwezi ikawa ndio representative ya jamii bali ni biased cz hao ni wale tayari walikuwa na walakini for whatever reason.

therefore to get a truly representative data, a random sample ipimwe.

alternatively tuwe tu kama makabila fulani fulani hivi ambayo kwao mradi mke aliezaa ni wako, basi huulizi mimba kaitoa wapi bali una adopt tu huyo atakae zaliwa nae!!!
 
As long as huyo mtoto yupo ndani ya himaya yangu ni wa kwangu, hata kama ikigundulika miaka 15 baadae si wa kwangu kimsingi nitakuwa tayari nimeshakuwa baba yake.
Kuna hii stori niya kweli..Jamaa mweusi alikuwa ameoa mzungu na wana watoto wawili, baada ya kushinikizwa na ndugu na majirani akafanya paternity tests na kukuta watoto wote wawili si wa kwake.Baada ya muda jamaa akaoa mzungu tena baada ya kupata mtoto mmmoja jamaa akaenda kupima this time bila kuambia na mtu yoyote,kupewa matokeo mtoto si wa kwake TENA.Kama ni wewe bado utandelea kungangania ni wa kwako kwasababu wamezaliwa kwenye himaya yako?
 
Ndi hapo inapokuja tofauti kati ya dad na father.....wengi wamefunbiwa hapa................
Mkuu nipe Maana ya kuitwa Baba??
ni lazima awe mtoto wako??mi nina katoto cha jiran kananiita baba mdogo sijui nakosea kujibu..msaada tafadhali
 
hdi sasa siamini kama baba yangu ndiye ata mama yangu anajua hilo,niliwahi kusema waziwazi mbele yao(wazazi) nikiwa darasa la saba.
ndo maana buhaya mama yako akifariki pamoja na kupewa pole pia unapewa hongera maana katika uhai wake kuna siku zote kuna risk ya baba kumuudhi akalipuka na kukwambia 'hivi we kanyigo alokwambia ta rutta ndo babako nani.....hebu kaangalie pua yako yako kwenye kiooo'....it happens
 
P.Didy ukifanya upembuzi yakinifu si ajabu hata wewe mama alimbambikia unayedhani ni baba yako baada ya mwanaume aliyemdanganya kumwacha njia panda....Haya mambo ni magumu,ukiingia mstari wa mbele unaweza kupata ugonjwa wa moyo!
 
Mtoto nini mtoto tu mlee. Kwani ajuae baba wa mtoto ni mama. Ukichunguza bata anakula nini hutakula nyama.
 
kweli kama unampenda mkeo usianze kufikiria kwamba amezaa na mtu mwingine. kwani ukianza kufananisha sura ya mwanao na njemba zingine kwa uhakika utamchukia mkeo hata kama ni kwa hisia tu. Ushauri wa bure usipoteze muda kufikiria mambo hayo. Fikiria tu kwamba mkeo anakupenda na hawezi kukusaliti
 
Kwahali hii hata wewemwenyewe (baba) unaweza kuwa mtoto wa nje ya ndoa lakini mama yako aliuchuna. Je ukijua sasa utajisikiaje?
 
Wototo wote alio zaa mke wangu ni wangu 100%

Sisi wengine tunatazama wapi pakuoa, kabla ya kuoa :biggrin:
 
Back
Top Bottom