Labda ni njia gani mmbadala inaweza kutumika?Ahh Bumija kitambo sana sijaona maswali na michango yako JF,vipi na wewe ulienda kumsupport Cameron kuhusu haki za mashoga nini???
Okay,back to the topic ni kwamba NECTA inabidi ibadilishe mfumo kwani huwezi kugundua au kuujua uwezo halisi wa mwanafunzi kwa kutumia mitihani ya wiki moja au mbili.
Mwangu assignment na msuli vinabana,ni adimu mana kuanzia monie hadi sa night mapindi.