Je! Mtamwamini CAG ktk ripoti ijayo ya UDA?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Ndugu wana JF,

MKAGUZI na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema ripoti ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), ipo katika hatua za mwisho na ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao, kila kitu kitawekwa wazi.

Je tupo tayari kuikubari ripoti hiyo? ukizingatia tayari tulisha gongwa na nyoka ktk ile ripoti yake aliyomsafisha Jairo?

Je si upo uwezekano kuwa kikatoke kile tusicho kitegemea?

ngoja tuone,lakini kwangu mimi bado naingiwa na shaka sana
 
Back
Top Bottom