Je mpangaji ana haki?

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
527
110
1. Je kuna grace period ya muda gani mpangaji anaruhusiwa kisheria kukaa kwa mwenye nyumba baada ya mkataba
kuisha? wakati akitafuta nyumba?

2. Je ni haki kudai resit ya malipo ya kodi, na kuhakikisha mwenye nyumba amelipa 10% ya mapato kwa TRA?


3. Sheria ipi inalinda mwenye nyumba na Mpangaji. mwenye nayio naomba anitumie.

Asanteni
 
Inategemea na aina ya mkataba ambao mliingia katika swala la kupangisha as swala la yy kusubiria lipo kwenye utoaji wa notice
 
Back
Top Bottom