Je mnafahamu kuwa kikwazo kikubwa cha maisha ni wanawake??

Wanawake ndiyo pambo la dunia! Bila wao dunia haina maana. Biblia inatuambia tuishi nao kwa akili. Kama wewe umeshindwa kuishi na mwanamke kiasi cha kuwadharau hivyo, maana yake ni kwamba huna akili, full stop!! Sina cha kuongeza.

Mtoto wa nyoka daima ni nyoka. Kama baba yako Adamu hana akili vivyo hivyo nawe huna akili kwa mtazamo wa fikra zako. Mjibu mpumbavu kwa kadri ya upumbavu wake. Sina cha kuongeza pia!
 
Ni kweli kabisaaaaaaaaaaa, mwenyewe si unaona hata Shetani alianza kumpa tunda then kwa ulaghai na ss tukala? Bila yy kula walllah tunsingekuwa na matatizo. Big up. Kusema kweli co kuchukia au kutomuheshimu mtu.

Kwa makusanyo ya maoni mbali mbali pamoja na haya hapa, inathibitisha kuwa tatizo si wanawake bali wanaume ambao haTUna ubavu wa kujiamulia wenyewe bali kukubali kuburuzwa. Na anayekubali kuburuzwa ataendelea kufanya hivyo bila ya kujali kama mburuzaji ni mwanamke, mwanasiasa, shehe, padri au hata katoto kadogo. "where's the Man's Supremacy?
 
...LOL, mzee ni nini? ...midlife crisis?

midlife+crisis.jpg

...achana na lawama bana, you've to take full responsibilities
for your Choices and your failures.
 
Mie nimeshituka kweli labda kwa kuwa mie mgeni hapa.

Bila sisi usingekuwepo hapa duniani pamoja na dharau zako.

Tutaendelea kukuombea kwa Mungu hapo kesho

Hiyo AVATAR yako ndio haswa inayopelekea matatizo yote hayo. Hela tuchume sisi then tuwapelekee waliovaa kama avatar yako hahahhahaha. Mama ni Mama Bwana
 
Ni kweli kabisaaaaaaaaaaa, mwenyewe si unaona hata Shetani alianza kumpa tunda then kwa ulaghai na ss tukala? Bila yy kula walllah tunsingekuwa na matatizo. Big up. Kusema kweli co kuchukia au kutomuheshimu mtu.
Wao ndo chanzo chakilakitu hata katikafamilia unakuta msababishaji ni mwanamke ila mimi najua hawzpendi kuambiwa ukweli wao wanakimbilia kusema kama siyo mimi usingekuwepo nipinge kwa hoja!!Kwani hata mimi nauwezo wakusema bila mwanaume wanawake wasingekuwepo??
 
Hivi kumbe ae
Nadhani ingekuwa si wanaume hao wanawake wasingekuwepo..
so we should stop bleming each other
Nashukuru kwakulitambua nadhani niuelewa wawatu na watu kujiona wao niwaelevu kuliko wengine!!!ukweli nihuo bila mwanaume hakuna mwanamke!!hivyo tuongee hija kwa nini wanawake wawe chanzo cha matatizo!!????
 
wewe kabila gani???????????????labda ni lile linalowa penda wake zao kwa vpigo..................rethink and repent:tongue:
 
Pole kakakiiza umekutana na mmama akakufanza lol
Tena ile yakwenye majukwa ninoma kwakuwa wao ndo vyanzo kwenye familia zao na wao ndo wanaongoza mapambano nawengi wameachika!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom