Je mnafahamu kuwa kikwazo kikubwa cha maisha ni wanawake??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Katika pitapita yangu nimekuja kugundua matatizo yote ya maisha wanao sababisha ni wanawake!!Kwani wanawake bila ya kujalisha aliyeolewa na ambaye ajaolewa wote ndiyo wanaosababisha ugumu wa maisha,na kusababisha kushuka kwa uchumi wa nchii kwani wao ndiyo wamesababisha matatizo yote yaliyoko hapa nchini!!!Hata mafisadi wamekamatwa na wanawake hadi kusababisha nchii kuwa ombaomba!Hivyo hata sikuyawanawake dunianihaina tija kama wao wanasema penye maendeleo mwanamke yupo nyumayake je kwa nini tuwe masikini nawao wapo???
 
Mkuu mbona unawalaumu wakat ndio wanasababisha tufanye kaz kwa bidii tunapata mshko wk end tunawapalekea!
 
Kakakiiza

Hivi unafahamu kwamba bila wanawake hata wewe usingeweza kuandika hii sredi???
Hivi unafahamu bila wanawake hakuna kiumbe kitakachoitwa MWANAUME??
Hivi kweli unathubutu kumwambia mama yako mzazi kwamba kukulea kwake tumboni miezi 9, akunyonyeshe, akutunze, akulinde, akupeleke hospitali kila ukiumwa yote hayo ni kukuletea matatizo maisha yako???

Kakakiiza

Kweli unaweza ukamtukana mama yako mzazi matusi ya nguoni namna hii??
Kweli unaweza ukamfananisha mama ako na fisadi RA????
Kweli wewe unaetamka haya maneno umezaliwa na mwanmke??? Au mwenzetu ulizaliwa na kiumbe tofauti???
Kweli unathubutu kumtukana hadi Muumba wako na kuidharau kazi yake aliyoifanya kuumba mwanamke???

Ndugu, kesho ni Jumapili, siku takatifu kwa wakristo duniani, nenda katubu kabla hujawa KichaaKiiza
Na uwaombe Mods waifute hii sredi yako haraka hapa MMU
 
Katika pitapita yangu nimekuja kugundua matatizo yote ya maisha wanao sababisha ni wanawake!!Kwani wanawake bila ya kujalisha aliyeolewa na ambaye ajaolewa wote ndiyo wanaosababisha ugumu wa maisha,na kusababisha kushuka kwa uchumi wa nchii kwani wao ndiyo wamesababisha matatizo yote yaliyoko hapa nchini!!!Hata mafisadi wamekamatwa na wanawake hadi kusababisha nchii kuwa ombaomba!Hivyo hata sikuyawanawake dunianihaina tija kama wao wanasema penye maendeleo mwanamke yupo nyumayake je kwa nini tuwe masikini nawao wapo???

Naona itakuwa ni vizuri sana ukafanya pita pita yako nyingine ambayo itakupa picha halisi ya matatizo ya maisha badala ya hii uliyokuja nayo ambayo haina ukweli wowote.
 
Mie nimeshituka kweli labda kwa kuwa mie mgeni hapa.

Bila sisi usingekuwepo hapa duniani pamoja na dharau zako.

Tutaendelea kukuombea kwa Mungu hapo kesho
 
Kakakiiza

Hivi unafahamu kwamba bila wanawake hata wewe usingeweza kuandika hii sredi???
Hivi unafahamu bila wanawake hakuna kiumbe kitakachoitwa MWANAUME??
Hivi kweli unathubutu kumwambia mama yako mzazi kwamba kukulea kwake tumboni miezi 9, akunyonyeshe, akutunze, akulinde, akupeleke hospitali kila ukiumwa yote hayo ni kukuletea matatizo maisha yako???

Kakakiiza

Kweli unaweza ukamtukana mama yako mzazi matusi ya nguoni namna hii??
Kweli unaweza ukamfananisha mama ako na fisadi RA????
Kweli wewe unaetamka haya maneno umezaliwa na mwanmke??? Au mwenzetu ulizaliwa na kiumbe tofauti???
Kweli unathubutu kumtukana hadi Muumba wako na kuidharau kazi yake aliyoifanya kuumba mwanamke???

Ndugu, kesho ni Jumapili, siku takatifu kwa wakristo duniani, nenda katubu kabla hujawa KichaaKiiza
Na uwaombe Mods waifute hii sredi yako haraka hapa MMU

CPU you deserve this.

Sina cha kuongeza umemaliza

The Following 3 Users Say Thank You to CPU For This Useful Post:

Dena Amsi (Today), Fanta Face (Today), muhosni (Today)​
 
asante sana mkuu kwa kutujilisha hilo kumbe mafisadi ni rimoti control tu wake zao ndio wanaopanga mipango yote maana mie nilikuwa sijui
 
KK kwa hili umenikwaza sana leo

Una haki ya kukwazika DA. Katika ile list ya mafisadi iliyotolewa na CHADEMA hakukuwa na jina hata moja la mwanamke. Katika majina ya waliotuingiza kwenye mkenge wa Kagoda, Meremeta, Rada, ununuzi wa ndege ya Rais, helicopters na magari ya jeshi, mikataba feki ya uchimbaji wa madini yetu, TRL n.k. katika wale wahusika walioudanganya Ulimwengu kwamba Saddam alikuwa na silaha za maangamizi (WMD) na "We know where they are" pia hakukuwa na jina la mwanamke, lakini ushahidi huu wote bado watu wanaona matatizo yote ndani ya nchi yetu na labda duniani kote yakiwemo ya kuanguka kwa uchumi eti yanasabababishwa na Wanawake! Mtatafute mengine ya kuwabebesha/kuwalaumu Wanawake lakini siyo hili.
 
sina cha kukupa mamaa ah mama zaidi ya shukurani mamamaaa. dah siamini km mtu unaweza dharau hata mama yako kiasi hiki. mama anavyohangaika kukutunza namna hiyooo toka day one mpaka leo ndo waja sema mwanamke ni kikwazoo duh
 
msiwe mnaingia jf mkiwa mmeshakunywa mataputapu.....

upuuzi mtupu......

this world means nothin without womens..............
 
Katika pitapita yangu nimekuja kugundua matatizo yote ya maisha wanao sababisha ni wanawake!!Kwani wanawake bila ya kujalisha aliyeolewa na ambaye ajaolewa wote ndiyo wanaosababisha ugumu wa maisha,na kusababisha kushuka kwa uchumi wa nchii kwani wao ndiyo wamesababisha matatizo yote yaliyoko hapa nchini!!!Hata mafisadi wamekamatwa na wanawake hadi kusababisha nchii kuwa ombaomba!Hivyo hata sikuyawanawake dunianihaina tija kama wao wanasema penye maendeleo mwanamke yupo nyumayake je kwa nini tuwe masikini nawao wapo???

Wewe hujaona matatizo aliyopata Adam kwa Eva na Mungu akampa adhabu ya kwa jasho utakula....Samsoni alipofuliwa macho kwa ajili ya Delila hujajuaga tu....Ayubu aliambiwa si umkufuru huyo Mungu ukafe hilo nalo ulilijua kaka......Yesu alimwambia mama yake tuna nini mimi nawe maana wakati wangu bado alipomwambia atengeneze mvinyo[wine] wewe hukuwepo siku ile kaka Mtume muhammad s.a.w aliambiwa na mke wake mmoja aifanye asali kuwa haramu hilo nalo unalo eti kwakuwa yeye haipendi tu?.......n.k

Hayo tisa kumi kura zote za CCM ni zao na kwakuwa wanamume ni wachache kwanini wasituharibie maendeleo.

'' wamenizaa lakini hainizuii nisiwaambie ukweli''....Let me leave with it because I was born with it and not without,how should I leave it?
 
Kakakiiza

Hivi unafahamu kwamba bila wanawake hata wewe usingeweza kuandika hii sredi???
Hivi unafahamu bila wanawake hakuna kiumbe kitakachoitwa MWANAUME??
Hivi kweli unathubutu kumwambia mama yako mzazi kwamba kukulea kwake tumboni miezi 9, akunyonyeshe, akutunze, akulinde, akupeleke hospitali kila ukiumwa yote hayo ni kukuletea matatizo maisha yako???

Kakakiiza

Kweli unaweza ukamtukana mama yako mzazi matusi ya nguoni namna hii??
Kweli unaweza ukamfananisha mama ako na fisadi RA????

Kweli wewe unaetamka haya maneno umezaliwa na mwanmke??? Au mwenzetu ulizaliwa na kiumbe tofauti???
Kweli unathubutu kumtukana hadi Muumba wako na kuidharau kazi yake aliyoifanya kuumba mwanamke???

Ndugu, kesho ni Jumapili, siku takatifu kwa wakristo duniani, nenda katubu kabla hujawa KichaaKiiza
Na uwaombe Mods waifute hii sredi yako haraka hapa MMU

KAKA KIIZA USIOGOPE....toba ni siri kati ya anayetubu na anayetoa msamaha{MUNGU} na huyo huyo ndiyo aliyemwumba kwanza adam mwanaume na kisha eva mwanamke na mwanamke ametoka kwa mwanamume na siyo mwanamume ametoka kwa mwanamke au una badili kanuni ya creation of GOD.....Na ukirejea hapo kwenye reds watu na wakristo wote duniani wanajua hivyo......mnabeba tu biblia na kuvaa vimini muwe mnazisoma.

''Mungu kazi yake si kuwapa watu vichaa na kama anatoa hayo...basi kwa wasiojua neno lake'';....I was born in this way,how can I change it?
 
kimoja ni kuichagua CCM

Acha kumwaga pumba...umeambiwa ni wanawake wote au wanawake tu waliofanya hivyo??Uzumbukuku wanaofanya viongozi wenu unasabishwa vipi na wanawake??Haya kama mnatuona sisi ndo matatizo hamieni sehemu isiyo na wanawake mkafanikishe mambo yenu huko!ALAFU ACHA KUINGIZA UDINI HAPA VIMINI NI BIBLIA VINAHUSIANA VIPI NA UZUSHI WENU??!
 
Back
Top Bottom