Je,mkwere ameongea ukweli?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
361
Jamaa wenzangu kuna kitu napenda niulize....jana ktk sherehe za ccm pale dodoma mh.mkwere alikabidhiwa zawadi na mmoja wa mkuu wa wilaya ya kule ,sasa alipewa mifugo miiingi,ndege,mazao na hata cement mifuko mingi kweli hadi akatoa tabasamu. Alipoanza kuongea na wana-ccm akatoa kauli ambayo sikuelewa -alianza na shukrani kama kawa then akasema mzigo umekuwa mkubwa kuna ka-plot alipewa zawadi na anamiaka kama 6 hajakamaliza kukajenga ,eti jamani inawezekana kweli au?nawasilisha wanajf

source-tbc tv station
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom