Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

Sitaki kuamini kama bado kuna wanaume wa dizain yako ulimwengu wa leo.Skia mkuu navojua mimi wewe una mawenge ya mapenz na umeelemewa haswa kias kwamba ubongo wako hautaki kukubali kwamba unachofanyiwa si sahihi.Mh alaf kwa mastori ya dizain hii bado vijana eti tutamani kuoa?To hell.Achana na mambo ya cv,status,hadhi,heshma,weka pemben mwache mwanamke huyo hakupend.At the end of the day Mungu si mjinga kihvo hata kama iman yako hairuhusu kutoa talaka.Mambo mengne ni MAPOKEO tu syo sheria za Mungu.Mwache huyo ibilisi.Ah nimeumia kama imenitokea mimi vile
Mkuu,mwanamke huyo amefanya uasherati...na kwa sababu ya uasherati inaruhusiwa kutoa taraka na kuachana kwa wakiristo...jamaa aliweka nadhiri kwamba hatomwacha mwanamke wake mpk kifo na hakuweza kuamini jambo hilo lingetokea..shida inakuja pale aambapo mwenzako hafikirii jambo hilo...utaishi kwa mateso siku zote maishani mwako..dunia ya sasa wanawake hawana maadili,wananganyika kipumbavu..inatia hasira sana....jamaa ajifunze kutumia akili zaidi kuliko moyo kwa mapenzi ya siku hizi...moyo huendeshwa kwa hisia zaidi..akili inaangalia hali halisi.
 
mkuu sijui kama umenielewa what did i mean "LIFE CV" wajua kusema ni simple, anyway nitatakiwa kuwa na mpenzi mwingine, swali hata kama hataniuliza lkn for sure.. you were married, what happened then? The mark...why did you divorce? Mkuu think twice on this....
Jambo analofanya mwanamke wako ni sababu tosha ya kuachana naye...ila jaribu kutumia wazazi na wazee ili muwekewe kikao...na kanisani pia kwa watumishi wa Mungu..kama atatubu na kubadirika sawa...lkn kama ataendelea kufanya upuuzi huo..mwache kwa amani mkuu...sio riziki yako hiyo...Mungu atakupa mwingine...lakkni anza kutumia akili kupenda kuliko moyo...kwa dunia ya sasa...wengine walokole kabisa lkn hauwezi amini macho yako.
 
Are you still playing the game with a Ghosts??labda umeumbwa bila nguvu...kweli tupo tofauti girlfriend kinanuka sembuse wife?
 
Siku nyingine..jifunze kutumia brain zaidi kuliko moyo,ndio maana Mungu Aliweka Ubongo kichwani ili utuongoze kufanya maamuzi.
Isitoshe sio wa kwanza kumtokea mtoa mada, watu wamewekewa hadi sumu (yaani dhamira ya kukuua kabisa kwasababu ya mchepuko) kwenye chakula sembuse yeye
 
Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...
vipi tupe feedback
 
Hahahahaha we jamaa wewe CV ndio nini acha ujinga bhana,yaani unakuwa msitaarabu kuliko warabu ,unaenda nae mpaka kwa mchepuko halafu unarud kulala nae,no wonder wanakudharau,unaweza kuwa unaACT sawa katika kujicontrol hasira ila wapuuz wanachukua kama advantage kwako
 
Mkuu amini usiamini, siandiki kufurahisha, yamenitokea na bado yananitokea, nimestop kazi nyingi for a while, mie mtu wa mungu sana lkn kwa hili "I have no strength to face it", nimemwambia yote hayo kuwa for sure hatakaa na jamaa hata miezi miwili, I gave have what I had, the love, the trust, the bilieve, the loyality and all a woman needs from a her husband, I treated her like my mother, cuz my mother died when I was young, when I look at her, I felt the presence of my mother, sina neno ndugu yangu lkn it happened to me....
Pole sana Mungu ataitetea ndoa yako...hayo mapito tu
 
Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...
Pole bro,
Ndoa ni taasisi nyeti sana na hivyo kutoa ushauri wowote ambao haumpendezi mungu haufai kutolewa. Ila ninakusifu sana kwa ustahamilivu na kwa kuto loose it. Ila ninaomba ufahamu kuwa 'The writing is on the wall, read it'
 
Bado sina imani kama ni mkasa wa kweli?! Kama ni kweli, tatizo ni wewe kuwa mkia badala ya kuwa kichwa cha familia. Upole uliopitiliza ni udhaifu ndio loop hole anayotumia.
 
Huyo mke mwache maramoja hakufai na hajaanza kucheat na huyo tu. Wanawake wapo wengi sana kila kona wanahitaji kuolewa
 
Mbembeleze muagane na umle kisogo kwasana tu ili awe na adabu na asikusahau maana ndio dawa ya wanawake jeuri
 
Basi kama hutaki kumwacha just vumilia mpaka mkeo hapo atakapochoka kuchezewa na huyo jamaa atarudi tena kwako
 
Uzi wa mda mrefu sana ila umeniumiza sana as if nafanyiwa mimi.
Dah mwenyezi mungu mapenzi nilionayo kwa mbeba box wangu naomba mdudu shetani hasiingilie.

Mpe mleta uzi mke mwema mwenye mapenzi ya kweli at least kama yangu

Mungu wanaume kama hawa kwa nn unaamua kuwaadhibu kiasi hiki? Dear God why??
 
Back
Top Bottom