Je miradi kama hii ina hadhi ya rais wa nchi?

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,784
12,226
home

THURSDAY, MAY 03, 2012
[h=1]ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR YA KUIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI KISIWANI UNGUJA[/h]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wa Chama Wilaya ya Kaskazini A,alipofika kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM -Kibuyuni Jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM -Kibuyuni Jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Tena ni mradi kabambe huo! Zenji bana, ni kama Kata yetu ya Itobo!
 
Anything is so important to any an activated person. They do not know what they need nor what they want. They are ******!
 
Hivi hawa jamaa wameshindwa hata kulima kuzunguka nyumba? Raisi anapita kwenye minyasi yenye umande,kweli hawa jamaa ni wavivu.
 
Hivi hawa jamaa wameshindwa hata kulima kuzunguka nyumba? Raisi anapita kwenye minyasi yenye umande,kweli hawa jamaa ni wavivu.

Kwa kuzingatia unyeti wa majukumu ya rais wa nchi ni vema tukaweka viwango vya thamani ya miradi inayoweza kutembelewa naye. Viwango vya namna hiyo viwekwe pia kwa viongozi wa ngazi mbalimbali.

Mradi kama huu anaoweka jiwe la msingi Mhe. Shein ni wa ngazi ya kiongozi wa kata na kushuka chini!
 
Nadhani mtoa mada hakujikita katika ukubwa wa Mradi bali mradi wenyewe kwamba Rais anaweka jiwe la msingi kwenye ofisi ya Chama kwenye ziara ya kuimarisha chama huku akiwa na vitendea kazi vyote vya Urais.
 
Kwa mujibu wa shughuli za kiitifaki rais anapokuwa katika shughuli zisizo za kiserikali na kichama bado anapata hadhi zile zile za kiurais, na hiyo kwangu siyo tatizo kwa kuwa akipatwa na mkasa wo wote bado taifa litajikuta katika myumbo mkubwa.

Hoja yangu hapa ni muda ambao unapotezwa kwa shughuli zisizo na tija!
 
Kuimarisha chama hakuna tija? Halafu Zanzibar yenye watu chini ya million moja utapata wapi sehemu ya kwenda kufungua ujenzi wa barabara ya km 200 au jumba la ghorofa 20?
 
Kuimarisha chama hakuna tija? Halafu Zanzibar yenye watu chini ya million moja utapata wapi sehemu ya kwenda kufungua ujenzi wa barabara ya km 200 au jumba la ghorofa 20?

Barabara ya km 200! Mbona umetaja umbali mrefu sana huo! Kule barabara ndefu ni km 60 tu. Namshauri kama hakuna miradi bora afanye mikutano ya hadhara na wananchi kuliko kuweka jiwe la msingi la shina au sijui tawi. Na huyo Sheha azindue nini sasa au aweke jiwe wapi? Urais mwingine bana, ni kama ule wa Chuoni!
 
Hivi hawa jamaa wameshindwa hata kulima kuzunguka nyumba? Raisi anapita kwenye minyasi yenye umande,kweli hawa jamaa ni wavivu.

kama wale ni wavivu inakuaje nyie wachapakaz kila siku tunaskia mnakufa kwa njaa,Igunga na Arumeru mashariki si tumeona watu wanaishi kwa mahindi ya msaada wa serikali!!! Ushaskia hao unaoita wavivu wanaishi kwa mahindi ya msaada?
 
Back
Top Bottom