Kuna fununu ya kuwa migogoro na habari mbalimbali inazushwa ili kupunguza mashinikizo ya serikali katika jambo fulani....tuliona wakati pinda kabanwa kuusu kudanganya Arusha yakazuka mabomu ya gongo la mboto na babu wa loliondo. Tumeona serikali ilipobanwa kuhusu katiba wameamua kuzusha maswala ya posho, mara kuwatumia CCM B kuzusha mgogoro kati ya Hamad rashid na SEIF Sharif