Je michuano ya Super 8 ni mradi?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Nimekuwa nikifuatilia hii michuano, imekuwa na kizungumkuti sana. Imeletwa bila mipango thabiti kwani timu zimekosa viwanja kama uwanja wa Sheikh Amri Abeid (Arusha), uwanja upi utumike kati ya Azam Complex au wa Taifa, kuna 'taarifa' ya kwamba ZFF inataka kijiondoa kwa kuwa haikushirikishwa wala haipati mapato n.k
JE TFF IMECHULIA FEDHA ZA ACB KAMA MRADI WA KUANZISHA LIGI?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom