Je maujanja haya yanawezekana kwa cd?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
NIMEPATA CD YENYE LECTURE YA FIZIKIA YA F2 NA F3. LAKINI SHIDA YAKE NI KWAMBA ILI UPATE UHONDO KAMILI INABIDI UIWEKE KTK COMPUTER, SWALI LANGU NI JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUIFANYA ILI HATA UKIIWEKA KTK HIZI DEKI ZETU ZA KAWAIDA KAMA ZEC n.k NA UKAUNGANISHA KWENYE TV BASI UANZE KULA SHULE KWENYE TV BADALA YA KUTUMIA PC? KWANI KUMBUKA SI WOTE WANA COMPUTER MAKWAO. NAOMBA MSAADA.
 
Hapo ni suala la format tu. Je hizo video za kwenye CD ziko kwenye format gani? Avi?Mpeg 1/2/3/4? DivX?...
Na je deki yako ina support format zipi?
Cha kufanya ni kuangalia deki yako inasupport format zipi za video, kama format inzosupport ni tofauti na format ya video za kwenye CD, convert hizo video kwenda kwenye supported format. Then zichome tena kwenye CD, hapo utaweza kuangalia kwenye deki yako
 
Hako ka cd nakahitaji kwa ajiri ya dogo hebu sema nitakapataje mkubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom