MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
Kuna suala la deni la ndani la marekeni, hivi karibuni limekuwa likiongerewa sana ktk vyombo vya habari hasa vya inje ya inchi. Eti marekani inakabiriwa na deni kubwa sana eti km hatua muhimu hazitachukuliwa ndani ya muda mufupi itatangaza kufilisika kabisa!.
Sasa ndg zangu wana jf hebu tupeni ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu hili, maana wengine tunashindwa kuelewa.je inakuwaje wafiisike ndani ya muda mfupi tu.
Sasa ndg zangu wana jf hebu tupeni ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu hili, maana wengine tunashindwa kuelewa.je inakuwaje wafiisike ndani ya muda mfupi tu.