Je, Maprofesa wetu wanadanganya wanaposema Wazungu waliturudisha nyuma?

SuperNgekewa

Member
May 10, 2010
49
3
Waafrika Tulikuwa Hivi ...
(Credit Safari_ni_Safari, JF Jamii Photos)
Waafrika Tulikuwaga Hivi 1.JPG

Je, Maprofesa wetu wanadanganya wanaposema Wazungu waliturudisha nyuma?

Changia mada please.
 

Attachments

  • Waafrika Tulikuwaga Hivi.JPG
    Waafrika Tulikuwaga Hivi.JPG
    44.8 KB · Views: 49
Mkuu Super Ngekewa,

Natanguliza heshima kwako!
Nina shaka hapa unachanganya Sayansi ya Siasa na Historia, ambapo ni vitu viwili tofauti!
Angalia zaidi uletaji wako wa changamoto yako hii!
 
Kama alivyosema PakaJ.

Ebu weka maada yako ieleweke zaidi,

1. Unaposema maprofesa akina nani? wako wengi sana, cite hata just one book/article to strengthen your argument
2.Umeuliza swali katika title yako, mtu kujibu yes au no, au whetever ni ngumu , kwani hujaeleweka unazungumzia katika angle gani,
3. Ni maprofessa tu wanaoweza kusema ulichoandika? if not them title may change as well!
4. what motive led you to start this particular topic?
 
Back
Top Bottom