nasri athumani
Member
- Jul 13, 2011
- 64
- 8
Takliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?
Sheria mpya za UEFA zinawabana Man City kutumia fedha nyingi,so far hadi sasa wamesajili wachezaji 2 tena hakuna hata anyefikia pauni mil 10,huenda wakanunua mshambuliaji kama TEVEZ ataondokaTakliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?