Je, Mama Salma Kikwete ni nani Tanzania....

Du!hata kama mnamchukia mtu si kwa kiasi hicho!kwani akisema vile ndo nini
halafu kwakuwasaidia ni kwamba mwanamke yoyote anayefanikiwa kuwa mke
wa Rais,huwa ni muhimu sana kushinda hata mtu mwenye cheo cha uwaziri,kwa nini
kama Nchi inaongozwa na Rais na ana mke,kumbuka ni kitu kimoja,tukija kwenye
Reality,anamtunza kumfanya awe na afya na wakati mwingine kumpa ushauri
ambao baadae hutusaidia au usitusaidie kutegemea jambo lenyewe sasa
ni ngumu sana kumtenga eti ni nani,yeye ni Mama yetu tutake tusitake
as long as she is with our President! ana haki ya yote anayosema irimradi
hayamwathiri mtu yoyote!!

hii ni nchi ya kidemokrasia ambapo tunaishi kwa kanuni ,taratibu na sheria,
wakati wa uchaguzi tulifunga mkataba na rais tu wa kututumikia,
sasa baada ya kupata ndio asitusikilize mpaka tuanze kwenda kubana pua kwa akina ritz1?,
 
Hilo la kuagiza mkuu wa Mkoa ashitakiwe kwake sasa hii ndio ilitakiwa kuwa topic lakini sio hilo la wasanii wa movie.

Source ya hilo la mkuu wa mkoa kushitakiwa kwa mama kikwete nimeitafuta sijaiona nimeiweka tu kama angalizo....
 
hii ni nchi ya kidemokrasia ambapo tunaishi kwa kanuni ,taratibu na sheria,
wakati wa uchaguzi tulifunga mkataba na rais tu wa kututumikia,
sasa baada ya kupata ndio asitusikilize mpaka tuanze kwenda kubana pua kwa akina ritz1?,

Mkuu asimtetetee bure huyu mama kazidi kujiweka kama yeye ndo Waziri mkuu au Makamu wa Rais....yeye ni mke tu anatakiwa kumpikia mme wake na sio kuingia kwenye siasa
 
ninachojua watu huwa wanamchagua preident tu na c na mkewe,yeye anabaki kuwa mke wa pres hayo mengine anayoyafanya ni yake but wengi wa wake zao huwa na vituko vya ajabu kuliko waume zao,mfano kwa kibaki n.k
 
quote_icon.png
By
buhange mi napita tuu!

Hata mimi

Na mimi pia nipo kwenye list ... napita!

.
 
kwani akitetea haki za wasanii ndo anakuwa na madaraka sawa na raisi? Hata wewe unaweza anzishaa harakati za kutetea wasanii...

Hivi umesoma lkn alivosema? Nilitaka kwa mana hiyo alitaka do you know what this means? Kuna chama cha kutetea haki za wasaniii mkuu kwa nini asipitie huko mpaka kwenye msiba ndo atamke hilo? Kwanza kuktana na wasanii yeye kama nani, angekutana na wasanii wa kike tungemwelewa...lkn thank you kwa kuchangia
 
ninachojua watu huwa wanamchagua preident tu na c na mkewe,yeye anabaki kuwa mke wa pres hayo mengine anayoyafanya ni yake but wengi wa wake zao huwa na vituko vya ajabu kuliko waume zao,mfano kwa kibaki n.k

Mama huyu ni Limbukeni kweli kweli halafu eti alikuwa na mazungumzo ya kusaidia wasanii, kwa nini asiseme chama cha wasanii, Kweli Rais msanii na Mke wake msanii..
 
Mkuu asimtetetee bure huyu mama kazidi kujiweka kama yeye ndo Waziri mkuu au Makamu wa Rais....yeye ni mke tu anatakiwa kumpikia mme wake na sio kuingia kwenye siasa

He na nyinyi kwa kulaumu basi tena. Hakuna jema hapo kazi kutafuta makosa tu.

Mke wa Mkapa mbona alikuwa anajishughulisha na mumeufyata? Munataka ale na kukaa bure tu ikulu?

Naamini kujishughulisha na mambo ya Taifa hili ni sawa kabisa. Hizi ni enzi tafauti na zile za Nyerere kwa hivyo musimlinganishe mama Nyerere na Salma. Mbona hamukulinganisha Maria na Anna Mkapa?

Munachosha kwa lawama zenu jamani.
 
Back
Top Bottom