Je, Mama Salma Kikwete ni nani Tanzania....

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Kwanza nanukuu....
Mama Salma alisema: "Kwa kweli nimeguswa sana na kifo cha Kanumba kwani nilishaanza kutengeneza mazingira ya kutetea haki za wasanii wa filamu kwa kushirikiana naye pamoja na msanii mwingine wa kike ambaye yupo miongoni mwenu hapa...
Maswali yangu, yeye ni nani kuanza kufanya kazi hizi zaidi ya kumtunza RAIS wetu ili afanye kazi kiufanisi, pili je, hivi katiba ya Tanzania inaruhusu mke wa Rais kuwa na madaraka kama Rais? Je kwa nini Mama Nyerere hakuwa hivi au Baba wa Taifa, sijui yeye alikuwa mbinafsi kutomruhusu Mkewe kujiingiza katika hekaheka za sijui ukombozi au shughuli zingine? Jingine, hawa wake za Marais wetu mhhhhhhhhhhhhhh...ni hoja tuuuuuu......Source
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/mama-kikwete-amliza-wema
 
ni first lady tu!thats all!first lady sio cheo ni status tu!labda alifanya kama jitihada binafsi tu!haikatazwi!ili mradi atumie muda na mali binafsi sio za serikali!hata wewe na mimi tukitaka kufanya ruksa tu!hata alex msama anafanya jitihada zake binafsi kwa ajili ya haki za wasanii!tuendelee kujadili!
 
Kwanza nanukuu....
Mama Salma alisema: “Kwa kweli nimeguswa sana na kifo cha Kanumba kwani nilishaanza kutengeneza mazingira ya kutetea haki za wasanii wa filamu kwa kushirikiana naye pamoja na msanii mwingine wa kike ambaye yupo miongoni mwenu hapa...
Maswali yangu, yeye ni nani kuanza kufanya kazi hizi zaidi ya kumtunza RAIS wetu ili afanye kazi kiufanisi, pili je, hivi katiba ya Tanzania inaruhusu mke wa Rais kuwa na madaraka kama Rais?
Je kwa nini Mama Nyerere hakuwa hivi au Baba wa Taifa, sijui yeye alikuwa mbinafsi kutomruhusu Mkewe kujiingiza katika hekaheka za sijui ukombozi au shughuli zingine? Jingine, hawa wake za Marais wetu mhhhhhhhhhhhhhh...ni hoja tuuuuuu......Source Mama Kikwete amliza Wema - Global Publishers

jibu la hapo kwenye red,
Miaka ya sabini mwanzoni, Mama Maria alifanya soo fulani ambalo lilimfanya asiwe active!
 
ni first lady tu!thats all!first lady sio cheo ni status tu!labda alifanya kama jitihada binafsi tu!haikatazwi!ili mradi atumie muda na mali binafsi sio za serikali!hata wewe na mimi tukitaka kufanya ruksa tu!hata alex msama anafanya jitihada zake binafsi kwa ajili ya haki za wasanii!tuendelee kujadili!

kuna kutumia mali binafsi hapo? kila siku na magri ya serikali.
 
Una uhakika hatumii mali za serikali? Aliacha ualimu ili kupunguza majukumu kwa mumewe...
 
jibu la hapo kwenye red,
Miaka ya sabini mwanzoni, Mama Maria alifanya soo fulani ambalo lilimfanya asiwe active!

Mie simo katika hayo masooooooo ila Mama Kikwete kazidi, masoo mangapi kafanya lkn bado anatesa? kuna moja aliwaambiaga wananchi wamshitaki mkuu wa mkoa kwake yeye nani?
 
kuna kutumia mali binafsi hapo? kila siku na magri ya serikali.

Asante mkuu, pia kuna chama cha Bongo movie kwa nini aseme alikuwa na Mpango kufanya hizo sijui haki na Kanumba? je kama KN kafariki ndo mwisho wa huo mpango wake? What is it?
 
kauli hiyo hata wewe unaweza kuitoa na usiewe yeyote muhimu katika nchi zaidi ya raia mwema mwenye uchungu wa uonevu na anayejituma kuchangia maendeleo ya wengine. Kama una lingine zaidi ya hiyo kauli mwaga evidence tuzichambue.
 
Mie simo katika hayo masooooooo ila Mama Kikwete kazidi, masoo mangapi kafanya lkn bado anatesa? kuna moja aliwaambiaga wananchi wamshitaki mkuu wa mkoa kwake yeye nani?
Hilo la kuagiza mkuu wa Mkoa ashitakiwe kwake sasa hii ndio ilitakiwa kuwa topic lakini sio hilo la wasanii wa movie.
 
kwani akitetea haki za wasanii ndo anakuwa na madaraka sawa na raisi? Hata wewe unaweza anzishaa harakati za kutetea wasanii...
 
Hilo la kuagiza mkuu wa Mkoa ashitakiwe kwake sasa hii ndio ilitakiwa kuwa topic lakini sio hilo la wasanii wa movie.

babake rizwan a.k.a juma kaseja
katika ajali ya NUNGWI wahanga aliwapa rambi rambi ya sh.million 5,,
kwenye msiba wa KUNUMBA katoa rambi rambi million 10
jamaa limbukeni sanaaaa...!!
 
Du!hata kama mnamchukia mtu si kwa kiasi hicho!kwani akisema vile ndo nini
halafu kwakuwasaidia ni kwamba mwanamke yoyote anayefanikiwa kuwa mke
wa Rais,huwa ni muhimu sana kushinda hata mtu mwenye cheo cha uwaziri,kwa nini
kama Nchi inaongozwa na Rais na ana mke,kumbuka ni kitu kimoja,tukija kwenye
Reality,anamtunza kumfanya awe na afya na wakati mwingine kumpa ushauri
ambao baadae hutusaidia au usitusaidie kutegemea jambo lenyewe sasa
ni ngumu sana kumtenga eti ni nani,yeye ni Mama yetu tutake tusitake
as long as she is with our President! ana haki ya yote anayosema irimradi
hayamwathiri mtu yoyote!!
 
Back
Top Bottom