Je malta guiness na vita malt zina madhara?

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Habari za leo wana jf,naomba kwa yoyote anayejua madhara yanayoweza kumpata mtu kutokana na unywaji wa vinywaji vya malta guiness na vita malt ambavyo ni vinywaji visivyokuwa na kilevi.
 
sina ujuzi wa madhara ya kafya ila kwenye ku boosy energy inasaidia ingawa inapunguza efficiency kwa wakaka. endurance inakuwa poor.
 
Sina uhakika kwenye red maana ukiangalia lile tangazo lao mfano vitamalt wameweka picha ya kaka na wadada wawili, wamemuegemea huyo mwanaume..sijui hii picha inaujumbe gani kwa watumiaji, ni lugha ya picha.... niliwaza kinyume na maelezo ya kwenye red.

sina ujuzi wa madhara ya kafya ila kwenye ku boosy energy inasaidia ingawa inapunguza efficiency kwa wakaka. endurance inakuwa poor.
 
Jamani wataalam njoeni mtupe madhara ya kiafya yatokanayo na hivi vinywaji.
 
Hazifai, ni hatari sana kwa afya ya ubongo na mwili, huongeza uwezekano wa kuongezeka uzito, kisukari, magonjwa ya mifupa, upungufu wa maji mwilini, kupoteza kumbukumbu, orodha inaendelea... Mara nyingi vinywaji hivi huongezwa kaffeina ndani yake, kaffeina ni madawa ya kulevya!!!!! www.maajabuyamaji.net network yangu ipo chini sana lakini nitarudi tena.
 
mi huwa nawashangaa wanywa malta sijui huwa wanatamani pombe? kinywaji gani hicho kwanza ladha mbayaaa!!
 
tunywe nini sasa maana mzizi mkavu anasema hata redbull ina madhara?
 
Back
Top Bottom