Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,015
Angalia post yangu ya sifa za Majini. Number 17sihitaji abrakadabla hadi siku nionane nao live niwahoji, maana inakuwaje mtu anakuwa na marohani(majini)afu anakatazwa na hao majini kunywa pombe, umalaya, uhuni, uvutaji sigara nk, kwa manufaa yepi na ya nani