Je, majini ni kitu gani na yanataka nini?

Status
Not open for further replies.
Bora ya MAGAZETI YA SHIGONGO KULIKO TAKATAKA NA UCHAFU WA BIBLIA... KUNYWA MAJI HALAFU SOMA TARTIIIIIIIBU


One is hard pressed to keep up with their Jugglery.
KUMBE ALLAH NI MUISLAM NA YEYE ANASWALI NA KUTAWAZA KAMA VIUMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jamani eeeh, huu ni MSIBA kwa ALLAH:::::

Ndugu zetu wa kambo wanasema kuwa eti Allah ni Muislam. Basi leo hii mimi nimekubali kuwa Allah ni Muislam, lakini kuna mambo machache ningependa tuyaangalie:

ALLAH ANASWALI:
Quran 33: 56. Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu

Hapo Allah na Malaika wake wanamswalia Mtume Muhammad. Kumbe Allah na yeye anaswali kama viumbe. Hebu endelea kupata darsa

KABLA YA SWALA WAISLAM WOTE LAZIMA WATAWAZE
Kumbe Allah na yeye kabla ya swala lazima afanye "Taharah" ILI ATOWE "Najas".

Kufuatana na Surah Al Baqara, Allah anapenda watu ambao wanajisafisha. Lakini kama kukiwa hakuna maji basi Muislam anarughusiwa kufanya Tayammum ambayo ni "wudu" na au "ghusl". Si mnajua tena kule kwa Allah hakuna maji....

MASWALI:
1. Kwanini Allah aswali kama viumbe?
2. Kwanini Allah afanye "tahara" ili kutoa Najis?
3. Ni uchafu gani huo allah huwa anatoa/usafisha?

MaSwali haya yameenda shule. Nategemea wafuasi wa allah wataleta ayat kusaidia majibu zao bila ya Matusi.

Watakabahu
 
KUMBE ALLAH NI MUISLAM NA YEYE ANASWALI NA KUTAWAZA KAMA VIUMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jamani eeeh, huu ni MSIBA kwa ALLAH:::::

Ndugu zetu wa kambo wanasema kuwa eti Allah ni Muislam. Basi leo hii mimi nimekubali kuwa Allah ni Muislam, lakini kuna mambo machache ningependa tuyaangalie:

ALLAH ANASWALI:
Quran 33: 56. Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu

Hapo Allah na Malaika wake wanamswalia Mtume Muhammad. Kumbe Allah na yeye anaswali kama viumbe. Hebu endelea kupata darsa

KABLA YA SWALA WAISLAM WOTE LAZIMA WATAWAZE
Kumbe Allah na yeye kabla ya swala lazima afanye "Taharah" ILI ATOWE "Najas".

Kufuatana na Surah Al Baqara, Allah anapenda watu ambao wanajisafisha. Lakini kama kukiwa hakuna maji basi Muislam anarughusiwa kufanya Tayammum ambayo ni "wudu" na au "ghusl". Si mnajua tena kule kwa Allah hakuna maji....

MASWALI:
1. Kwanini Allah aswali kama viumbe?
2. Kwanini Allah afanye "tahara" ili kutoa Najis?
3. Ni uchafu gani huo allah huwa anatoa/usafisha?

MaSwali haya yameenda shule. Nategemea wafuasi wa allah wataleta ayat kusaidia majibu zao bila ya Matusi.

Watakabahu

Hivi unajua yesu alikua SHOGA????????




I truly believe that Jesus of
Nazareth was not a straight man
and there are plenty of facts to
prove it. That’s right, the man who
died for your sins may very well
have been a homosexual.
1. The son of God, a man that
had the power to surround
himself with hundreds of
women choose 12 men to
hang out with. 12 MALE
Apostles.
2. These 12 men all went by their full names. Nathaniel,
Phillip, Andrew, Mathew, Thomas and so on. This is
something that gay men are notorious for. If Judas was
into vagina he would have gone by Jud. Mathew would
have been Matt and Thomas would have been Tom.
3. His first miracle of turning water into wine. Please,
wine?! A straight male would have made that shit a Bud
Light and called it a day. But Jesus had class and taste,
he converted that H2O into Sauvignon Blanc Jerusalem
Valley 26 AD. Poof!
4. History states that he was a “craftsman” until the age
of 30. Some say that this translates into a carpenter. But
for the sake of my theory I am saying that a
“craftsman” was really an interior designer.
5. He was 30 and not married and in those days people
probably got married at 15.
6. He preached the importance of charity and loving one
another. Powerful straight men start wars and pay for
sex while their wives are at home with the kids.
7. Jesus had the power to do anything that he wanted. If
this man were a heterosexual male, the wrecker of
everything scared he would have created a machine
gun or the stock market. But the son of God, Jesus of
Nazareth, used his heavenly power to heal the sick and
give vision to the blind.
 
Majini, Mashetani, Mapepo na Mahayawani.

Majini au mapepo ni viumbe ambavyo havionekani kwa macho, ni viumbe kama malaika isipokuwa majini na mapepo yalifukuzwa mbinguni pamoja na shetani baada ya kuasi, na yalitupwa duniani yakisubiri siku ya mwisho ya hukumu.
Shetani na majini, wanajua kabisa kuwa jehanum ya moto ipo kwa ajili yao, ndiyo maana wanafanya kila mbinu wasiingie peke yao huko jehanum, shetani ni mwongo, laghai anawatumia sana wachawi, waganga wa kienyeji, wasoma nyota kupandikiza majini, kuiba nyota yako ya mafanikio, kuchukua watu misukule nk.
Kuna aina nyingi za majini baadhi yake ni kama:-
1) Murafari – hili ni jini linalozuia mafanikio ya kupata fedha, mafanikio ya elimu nk.
2) Latifu – hili jini linaloleta ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo
3) Jahari – Jini anayetumiwa kuiba mali na kuzuia biashara kustawi
4) Hasinani – jini hili ni la fujo, ulevi wa pombe, bangi na dawa za kulevya
5) Jube – jini hili linasababisha utasa
6) Subiani – jini la ajali, linasababisha wanawake kutokupata siku zao, na kunyonya damu za akina mama siku zao za hedhi ambapo wanapata maumivu makali sana.
7) Sumil – jini hili huangamiza mimba changa
8) Waidadat – jini hili husababisha wanaume kuvaa hereni kusuka nywele na kutoga masikio.
9) Alibadiri – jini la kifo, likikupata kifo hutokea wakati wowote.
10) Anzura – Linawazuia vijana wa kike na kiume kuolewa/kuoa
11) Maimuna – linawakamata wanaume wenye ndoa zao hadi ndoa inavunjika
12) Makata – linasababisha vifo vya mfululizo kwenye familia
13) Faziur – jini la maandishi. Unaletewa barua ukiisoma tayari umelikwaa
14)Subha – jini hili linasababisha mtu kuwa na kiburi sana na kujiinua.
15) Maulan – jini linalofanya watu kuwa kichaa, au mtu ananuka wakati wowote
16) Al-maul – jini hili linamfanya mtu kuwa ombaomba
17) Zuhura au Zohari – Jini la fujo
18) Araba – Jini hili linafanya mtu apende sana ubani
19) Farkh – jini hili linatumwa hasa kwa wakristo kuangalia kama ana kinga (Wokovu)
20) Baradi – jini hili likikupata basi ndoa yako ni lazima itavunjika.
21) Shamsu – jini hili huvaa umbile la binadamu kwa sura yoyote.(sasa hivi mitaani majini haya yapo mengi sana)
22) Abuni – jini wa hasira
23) Kaimu – jini la kutambua nyota za watu
24) Tajuruni – jini la utajiri wa kichawi – ni lazima utoe kafara ya mwanao, mkeo au kufanya tendo la ndoa na mama yako mzazi
25) Al-taliki – jini hili linapoteza watu katika mazingira ya kutatanisha
26) Naluju – linasimamia lugha
27) Janatusi – linatumwa alfajiri kabla ya adhana kuleta usingizi kwa Wakristo wasifanye sala
28) Riyaron – jini hili linamfanya mtu afanye kila kazi peke yake
29) Zaitun – Jini hili linasababisha wasichana kuwa na maringo
30) Ruyati – jini linalosimamia ndoto mbaya
31) Al-rahabu – jini linalosababisha hitilafu ya umeme
32) Hadharaji – jini hili linafanya kazi ya kukata kichwa cha mtu ili wapate damu
33) Anazihaji – jini hili ndilo linachukua roho yako ukifa kwenye dhambi
34) Nghruk – linasababisha maafa
35)Munkara – jini la makaburini
36) Takadhuru – jini linaloleta mali za masharti.
37) Rabindi – jini la Waislamu pekee yao ili wafanye fujo.
38) Balishebe – jini la magonjwa yasiyopona
39) Sajiduri – jini linalokusaidia kupata pesa, kisha zinapotea kwa haraka
40) Rumiran – linasimamia uwongo
41) Lairlihabi – linasimamia hofu, kutojiamini na kukata tamaa
42) Rohani – jini la mateso na fujo
43) Betrah – jini hili linasimamia mapambo, kwa mwanamke huwa anajipamba isivyo kawaida, halikadhalika mwanaume
44)Hanshari – linatumiwa sana na waarabu kulinda maduka yao
45) Walihuni – linazunguka nyumba likilinda biashara
46) Kurasih – jini la kupoteza fahamu
47) Tarik – huondoa amani nyumbani, kazini. Linafanya watu wasielewane
48) Atha – mungu wa kiarabu wa kuabudu sanamu
49) Munakir – linapoteza watu kimiujiza
50) Malik – jini la kumiliki biashara
51) Ghatabu – jini la kulainisha macho wa wanawake. Wanakuwa wanarembua
52) Khatuh – jini la uchawi wa kuchukua kucha, nywele na nguo za ndani
53) Fanken – jini hili linasimamia mtu kuzunguza kiswahili cha pwani
54) Zamzam – jini la marashi na kusimamia mikataba ya imani. Mkristo anaposilimishwa basi hutupiwa jini hili kupofushwa akili yake.
55) Mukitala – linatumwa kuangalia kinga za watu
56) Laufili – jini la uvivu
57) Al-khah – linakula damu iliyoganda
58 Abasaa – jini la hasira wivu na jeuri
59) Aherumi – jini la homa za mara kwa mara
60) Muba – jini la maradhi ya kuambikiza
61) Kamariram – jini hili linatoa kinga kwa majambazi
62) Zubiran – jini la uongo na uzushi
63) Abadi – Jini la wizi, umalaya na ujambazi
64) Muzamili- jini la matambiko ya kiarabu
65) Ruhadi – jini la wizi, umalaya na umasikini
66 Usuran – jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
67)Tubuyali – jini hili linamfanya mtu kuiba vitu vya ndani ya nyumba. Haibi nje ya nyumba
68) Zirach – jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
69) Ashuran – jini la utasa na maradhi ya akina mama

Kinga ya majini haya ni nyepesi ni KUOKOKA na kusimama katika neno la Mungu. Kama unayo dalili yoyote iliyosababishwa na majini hayo hapo juu na umeokoka, taja jina la hilo jini, ni lazima litaitika, kisha liwashie moto.
Kama hujaokoka usiyarushie mawe au moto yatakuumiza. Mwuone kiongozi yeyote wa kanisa akuongoze sala ya toba, kisha anza kuwasha moto, hakika yatakimbia na kuacha biashara, kazi, ndoa, na watoto wako huru.


Max Shimba Ministries
 
HIVI UNAJUA KUWA MAJINI (MASHETANI )NI NDUGU ZA WAISLAMU? (JINNIE (EVIL SPIRITS) HAVE SPIRITUAL RELATION WITH MUSLIMS)




Soma ufafanuzi wake huu MAJINI (MASHETANI) NI NDUGU ZA WAISLAMU.


UTANGULIZI.
Majini ni viumbe visivyoonekana kwa macho ya kawaida ya wanadamu. Hii ni kwa sababu viumbe hivi viko katika asili ya roho ya kutokuonekana. Majini huitwa pia Ibilisi, Shetani, Pepo mchafu au Joka la zamani.


ASILI YAO:


Majini yalikuwa ni malaika kabla ya kuungana na yule Muasi Mkuu wa Mungu, yaani Lucifer aliyemuasi Mungu mbinguni na kutaka ukubwa wa kufanana na Mungu, na ndipo akatupwa huku duniani yeye pamoja na malaika zake, na huku wakiwa wamenyang'anywa utukufu waliokuwa nao hapo awali. Vita hiyo iliongozwa na Malaika Mkuu wa Mungu wa Mbinguni yaani Jehova kumtupa chini huyo malaika muasi pamoja na malaika zake. Viumbe hivyo vilivyotupwa ndivyo leo vinavyoitwa MAJINI au MASHETANI au PEPO WACHAFU au IBILISI au JOKA LA ZAMANI.




Uf. 12:7-12 " Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na Malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda, wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu, na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshtaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu. Mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neon la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaao humo. OLE WA NCHI NA BAHARI! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu"




Hivyo kwa mistari au aya hizo unaanza kupata taswira ya kile tunachijifunza kuliusiana na majini.
Ki- Biblia Malaika ni viumbe walio katika hali ya roho ila wanaweza kuonekana kwa umbile la mwanadamu Mw. 18:1-18, Lk 1:26-28, Kut 3:1-6
Katika Ebr 1:13-14 " Yuko Malaika aliyemwambia wakati wowote uketi mkono wangu wa kuume hata nitakapowaweka adui zako chini ya nyayo zako? Je, hao si ROHO watumikao wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?


Biblia inazidi kubainisha namna ya kuumbwa kwao


Mw. 2:1 " Basi mbingu na nchi zikamalizika na JESHI LAKE LOTE"


Ni katika jeshi hilo ambapo tunawapata hawa viumbe vya kiroho.


Na katika Kol 1:1:16 " kwa kuwa katika yeye vitu viliumbwa vilivyoko mbinguni na vilivyo juu ya nchi. Vinavyoonekana na visivyoonekana……"


Jeshi hilo ni huru linaweza kujiamulia lolote na ndiyo maana 1/3 ya hao roho yaani malaika waliasi na kufanya machukizo mbele za Mungu na wakafukuzwa (Uf 12:7-12) na wengine wamefungwa.


Katika Yuda 6 " Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu amewaweka katika vifungu vya milele chini ya fiza kwa hukumu ya siku ile kuu"


Tunasoma pia katika 2 Petro 2:4


" Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachilia malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni akawatia katika vifungu vya giza walindwe hata ije hukumu"
kwa hiyo Majini ndiyo mashetani na mashetani ndiyo majini.Katika kitabu Lawi 17:7


"Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale MAJINI ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao, sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao kizazi baada ya kizazi".




Kwa sababu majini hayo tangu yalipotupwa toka mbinguni wana wa Israel hawakuwa na ufahamu wa kutosha kuyahusu baadhi yao walijikuta wakiyatolea sadaka huku wakiamini kuwa wamemtolea Mungu sadaka. Na kumbuka kuwa mara nyingi wana wa Israel walipotoa sadaka zao nyingi zilikuwa za wanyama na hivyo kutakiwa kuchinja na kutoa damu ambayo ni sehemu kubwa ya chakula cha majini.
Katika Zaburi 106:34-40.


" Hawakuwaharibu wtu wa nchi kama BWANA alivyowaambia, bali walijichanganya na mataifa wakajifunza matendo yao, wakazitumikia sanamu zao nazo zikawa mtego kwao naam walitoa wana wao na binti zao kuwa dhabihu kwa MASHETANI wakamwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana wao na binti zao walio watoa dhabihu kwa sanamu za Kaanani. Nchi ikatiwa unajisi kwa damu.


Ndivyo walivyotiwa uchafu kwa kazi zao, wakafanya uasharati kwa matendo yao. Hasira ya Bwana ikawa juu ya watu wake akauchukua urithi wake.


Hivyo kutokana na kutokuonekana kwao hayo majini yaliwahujumu wana wa Israel hata yakawasababishia wamwasi Mungu kwa kuyatolea sadaka kinyume cha Mungu wa mbinguni aliyehai.


Katika Kumb. 32:17-20.


" walitoa sadaka kwa Pepo si Mungu, kwa miungu wasioijua, kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu ambayo baba zetu hawakuiogopa,


Humkumbuki muumba aliyekuzaa Mungu aliyekuzaa humkumbuki. Bwana akaona akawachukia kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake. Akasema nitawaficha uso wangu nitaona mwisho wao utakuwaje maana ni kizazi cha ukaidi mwingi watoto wasio Imani ndani yao.




Pia katika Math 12:43-45
" Pepo Mchafu amtokapo mtu hupitia mahali pasipo maji akitafuta mahali pa kupumzikia asipate. Halafu husema nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka hata akifa aiona tupu imefagiwa na kupambwa, mara huenda akachukua pamoja naye pepo mengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo, na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.


Katika Biblia tunaona kipindi Yesu alipotwaa mwili na kuja duniani, hao majini, au mashetani au Ibilisi au Mapepo wachafu yalimfahamu na yalianza kulalamika mbele zake.


Math 8:28-31 " Naye alipofika ng'ambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo (Majini) walikutana naye, wanatoka makaburuni wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile. Na tazama wakapiga kelele wakisema tuna nini nawe mwana wa Mungu? Je, umekuja kututesa kabla ya muhula wetu………………. (MK 5:1-9).


Majini hayo yanafahamu kuwa Yesu ndiye atakayewahukumu ila yalichoshangaa ni kwamba mbona amewahi kabla ya kipindi chenyewe cha yeye Yesu kuyahukumu kwenda Jehanamu ya Moto?


Yesu alikuja duniani ili kumwokoa mwanadamu kutokana na mateso ya hayo majini au mashetani kwa sabahu katika Uf. 12:12 Malaika Mikael alipokuwa anawafukuza hao malaika waasi yaani hao majini au mashetani alisema OLE WA NCHI NA BAHARI ndiyo maana Yesu ilibidi aje duniani kupambana na huyo shetani, Joka, Ibilisi kwa niaba yetu maana sisi tusingeweza na wale, majini walisema kumuambia Yesu ukitutoa tuache tukawaingie nguruwe na ngurume wale wapatao 2000 waliona bora kufa baharini kuliko kuishi na viumbe hivi majini au mashetani miilini mwao na hivyo kutimiza ujumbe wa malaika Mikaeli " Ole wa nchi na bahari". Baharini ni sehemu mojawapo ambapo majini huishi.


Unabii wa kuangushwa mji mkubwa uliojisifu sana (Babeli) ulipotolewa, ilitabiriwa kuwa, hayatakuwa tena makazi, bali patabaki yatafanya makazi huko.


Isaya 13:12. lakini huko watalala hayawani wakali wa nyikani na nyumba zao zitajaa bundi, mbuni watakaa huko, na majini atacheza huko.
Ndipo tunaposoma katika Yoh 12:31, Yesu anasema " sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo, sasa Mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje".


Na katika 1 Yoh 3:8


" atendaye dhambi ni wa Ibilisi kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi mwana wa Mungu alidhihirishwa ili azivunje kazi za Ibilisi.


Kama tulivyosoma toka sura na aya mbalimbali ndani ya Biblia kuwa majini hayo yanasubiri adhabu Biblia inatueleza atakaye yahukumu.


Math 25:31, 41 " Hapo atakapokuja mwana wa Adamu pamoja malaika watakatifu pamoja naye…………… Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto ondokeni kwangu mliyolaaniwa mwende katika moto wa milele aliyowekewa tayari Ibilisi na malaika zake".


Hivyo kwa mujibu wa Biblia Majini yaani mashetani ni Adui yetu na ndiyo maana alipokuja Mohammad yalianza kukanusha kuwa Mungu hana mwana ili kuwavuruga waislamu wasiijue kweli (Soma Quran 112:1-4, Al- Kahf, 18:3) ya kumwamini mwana wa Mungu Yesu.
Kwa bahati mbaya sana mambo yahusuyo majini katika imani ya Kiislamu ni tofauti sana na vile tulivyosoma katika Biblia. Ingawa Quran na Hadithi za Muhammed, Mtume wa Waislamu, Vinatutaka sisi wakristo tumwamini allah S.W. mungu anayeabudiwa na Waislamu Misitikini.
Katika Suratul Waqia 51:56.


" Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu" katika Quran Suratul Al- Ankabut (Buibui), 29:46-47) " Wala msibishane na watu waliopewa kitabu (kabla yenu) ila kwa yale (majadiliano) yaliyo mazuri isipokuwa wale waliodhulumu miongoni mwao na semeni tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja nasi ni wenye kunyenyekea kwake".


Waliopewa kitabu kwa mujibu wa Quran ni Wayahudi na Wakristo. Je, hoja kuwa Mungu wetu na Mungu wao wanayemwabudu kuwa ni mmoja je ni sahihi?. Tuchunguze kuhusiana na mafundisho ya Allah S.W. wa misikitini kuhusu majini ndipo tutajua ni mmoja au la!.


Muislam yeyote ili imani yake ikamilike ni lazima aamini yanayoonekana na yasiyoonekana katika Suratul Al- Baqarah (Ng'ombe Jike la Njano), 2:1-3.


" Alif Lam Mym. Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ni uongozi kwa wamchao mwenyezi Mungu ambao huyaamini yasiyoonekana (maadaam) yamesemwa na mwenyezi Mungu na Mtume wake) husimamisha sala na hutoa katika yale tuliyowapa.


Quran peke yake ukiichunguza utaona kuwa majini yamechukuliwa kama ni viumbe tofauti na mashetani, wanasema hivyo kwa sababu katika uislamu majini yamepewa hadhi kubwa sana na ya kipekee. Hadhi hiyo ni kwa sababu majini waliamini Quaran.


Tusomapo katika Quran Suratul al- Ahqaf, (Kichuguu cha mchanga) 46:29




" Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kuja kwako) kusikiliza Quran. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana):- " Nyamazeni (msikilizeni maneno ya Mwenyezi Mungu)" Na ilipokwisha (Somwa) walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya".


Na ndani ya Quran kuna sura nzima inayoitwa sura ya majini (Mashetani) hiyo ni sura ya 72. katika sura hiyo inasema 72:1-3, 14. " Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini liliisikia (Qurani) likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yoyote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana……………………. Nasi wamo miongoni mwetu na wamo miongoni mwetu waliokengeuka waliosilimu hao ndiyo waliotafuta uwongofu.


Kwa hiyo aya hizi zinaonyesha kuwa Quran ilipokuja ndipo majini waliposilimu. Kumbuka kuwa Quran imeanza mwaka 610 B.K kipindi ambacho Biblia tayari ili kuwepo kwa karibu karne 6.


Akifafanua asili ya majini Mwanazuoni mkubwa wa kiislamu aitwaye Abdalllah Saleh Farsy aliye kuwa Kadhi Mkuu Zanzibar, kisha akawa Kadhi Mkuu Kenya katika kitabu alichoandika kiitwacho " Maisha ya Nabii Mohammad" ule Uk. 31 anasema " Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu kama inavyoonesha haya katika Suratul Jinn. Majini ni viumbe vyepesi vinavyokaa angani. havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. Kwa hiyo asili ya majini ni shetani.


Suala linalohusu malaika linawasumbua sana waislam hata hawana uhakika wake.


Tumesoma ndani ya Biblia kuwa kuna kundi la malaika waliokosa ambao ndiyo wanaoitwa majini lakini tusomapo Quran inatoa maelezo tofauti.


Quran suratul As- Sajdah, (kusujudu) , 32:13 " Na tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake (kwa lazima kama tulivyowapa malaika lakini binadamu amepewa huria ya kufanya alitakalo- lililo jema na baya).


Katika ulimwengu wa Kiislamu Malaika wote ni8 wema na wanamwabudu mungu.


Hapa ndiyo tatizo linapoanzia. Quran iliyokuja baadaye inasema malaika wote ni wema wakati biblia kitalu kilichoitangulia Quran kinasema kuna malaika walioasi na wakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.


Katika Quran Suratul, al- Kahf, (Pango) 18:50 " Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake…….."


Katika aya hiyo tunaona ibilisi akilaumiwa kwa kutomsujudia Adamu ingawa amri ya kusujudu walipewa malaika kumbe kwa mujibu wa Quran Ibilisi alikuwa miongoni mwao hao malaika yaani na yeye akiwa malaika.


Kwa sababu Quran haina habari kuhusu malaika walioasi yaani majini ndiyo maana wanapata tabu kuhusu jambo hilo. Na ndiyo maana pamoja na kujua kuwa hayo majini ni mashetani, Muilsamu amehiari kushirikiana nayo kwa kuswali nayo msikitini. Na hata mwislamu huyu anapomaliza kusali husalimia kulia na kushoto akiwasalimia watu malaika na majini (mashetani) waliokuja kushiriki naye katika Ibada yake, soma katika (Irshadul Muslimiin, Sheikh Said Musa, Uk. 38).


Katika Tafsiri ya Quran ya Iman Jalalaini Uk. 6:151 anasema kuhusu majini " Hao ni watoto wa Ibilisi"


Hii ndiyo sababu hata wanawake wa Kiislamu wakiwa katika kipindi cha hedhi hawaendi msikitini kwa sababu kuna majini na chakula cha majini ni damu. Tafakari kwa hiyo sifa ya hayo majini au mashetani kwa ujumla ni kuwa " hujaribu kwa bidii sana kuwa karibu na waamini wale wanaosali, kufunga na kusoma Qurani " (Asili ya majini, Dk. Ahmed H. Sakr Uk. 28) ndiyo maana baadhi ya waislam wao binafsi wasingependa kuwa waislamu lakini majini huwashurutisha kwenda kuswali.


Kwa sababu wao waislamu hawajui kupambanua kati ya majini ambayo ni roho chafu na wale malaika watakatifu wa Mungu Jehova, ndiyo maana hata akiwa katika sala yake hana uhakika kwa sababu huyo jinni (shetani) amemteka na anamfanyia atakavyo na yeye ni mtumwa wa huyo jinni (shetani)


Katika kitabu kiitwacho Mkweli Mwaminifu cha Sheikh Said Moosa Mohamed Al- Kindy wa Muscut Oman, juzuu 1-2 Uk 42 Hadithi Na. 74.


" Anamwijia mmoja wenu shetani (Jini) katika sala basi anapuliza (anampuliza) katika ------ yake, basi (yule mtu) inamuijia fikra ya kuwa umemtoka upepo (kafusa) naye haukumtoka, basi akiona namna hiyo asiondoke (kwenye sala}) mpaka asikie sauti ( ya kutoka upepo) au anuse harufu ( ya huo upepo uliyomtoka, ndio aondoke).


Huyo shetani, au jinni anayekuwa karibu sana na huyu mwamini wa kiislamu hamchezei tu mwislamu katika ------ yake kama tulivyosoma hapo juu bali pia anapofanya tendo la ndoa .


Katika kitabu kiitwacho Asili ya Majini, cha Sheikh Dr Ahmad H. Sakr Uk. 116 anasema " Hadithi ya Mtume inathibitisha jambo hili kuwa majini (mashetani) na watu wanaweza kuoana aliposema kwamba iwapo mtu ataingia katika uhusiano wa kindoa na mkewe anatakiwa ataje jina la Mwenyezi Mungu ajilinde kwa Mwenyezi Mungu dhidi ya shetani aliyefukuzwa mbali na rehema. Vinginevyo shetani hujiviringisha katika dhakari (sehemu ya siri za mwanaume) ya mtu huyo na atashirikiana naye katika tendo hilo. Tafakari yetu kuwa hiyo jinni anayeshiriki naye tendo la ndoa pamoja naye kwa mkewe ametumwa na huyo huyo Mungu wao. Hiyo ni kesi ya ngedere kumpelekea nyani! Utashindwa tu!




• Huhakikisha haweki wazi utambulisho wake vinginevyo watu wanaweza kumkwepa au hata kukimbia. Jina lake linawatisha watu wengi. Hivyo ni vyema asijitambulishe kama ni shetani , jini.


• Huwapotosha watu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ili waende naye Jehanamu, badala ya kwenda peke yake. (Kumbuka hukumu ya Yesu kwa Ibilisi na Malaika zake (Math 25:41)


• Huwakatisha watu tamaa kwa sababu hana cha kuwapa ila matumaini ya uongo (Mf Q. 52:20)


• Huhakikisha kwamba watu wanamheshimu kumfuata shetani maana yake ni kuwa mtu wa namna hiyo amejisalimisha (Kumbuka waislamu wanapowasalimia majini kulia na kushoto katika sala (Irshadul Muslimin Uk 38).


• Huhakikisha kuwa hadhihirishi jina lake kama shetani lakini kama rafiki aliyejificha anayewatakiwa mema.


• Huanzisha vurugu vinginevyo maisha yake huwa ya taabu. Huwa anafurahia kuona watu wakipigan wao kwa wao.


Katika kipengele hiki tunaposoma katika Quran, Suratul – Al- Maidah, (Meza) 5:14.


" Na kwa wale waliosema sisi ni Wakristo tulichukua ahadi kwao, lakini wakaacha sehemu (kubwa) ya yale waliyokumbushwa kwa hivyo tukaweka baina yao (wenyewe kwa wenyewe) uadui na bughudha mpaka siku ya kiama na mwenyezi Mungu atawaambia waliyokuwa wakiyafanya"


allah S.W. ndiye anayewaletea uadui na bughudha wakristo. Yeye atakuwa nani?


Tafakari.


• Hufundisha uchawi watu wanapaswa watoe kiapo cha utii kwake kabla ya kufundisha uchawi wa aina yoyote. Elimu ya uchawi ni kuwadhuru watu wengine hasa hasa waume na wake.


Katika sehemu hii tumwangalie huyo shetani au jinni anayeruhusu na kufundisha uchawi.


Katika Suratul, al- Bagarah, (ng'ombe jike), 2:102 " Wakafuata yale waliyoyafuata mashetani wakadai kuwa yalikuwa katika ufalme wa nabii suleimani na Suleiman hakukufuru bali mashetani ndiyo waliokufuru, wakiwa fundisha watu uchawi waliokuwa wakiujua wenyewe tangu zamani. Na uchawi uliteremshwa kwa malaika wawili Haruta na Maaruta katika mji wa Babeli wala malaika hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie hakika sisi ni mtihani wa kutazamwa kutii kwenu basi usikufuru wakajifunza kwao ambayo waliweza kumfarakisha mtu na mkewe na mengineyo wala hawakuwa wenye kumdhuru yeyote kwa hayo ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu……………………


Katika aya hiyo inaeleza kuwa uchawi ni kazi ya Allah na ndiye anaye idhinisha. Yeye atakuwa nani? Na pia kuna waganga wa kienyeji wa kiislamu ambao hutumia Quran katika uganga wao. Hiyo Quran na majini na uchawi, ulioletwa na Allah S.W. vina uhusiano gani? Tafakari


" Juhudi kubwa anayoifanya shetani (Jini) ni kuleta mfarakano baina ya waume na wake. Kwa kufanya hivyo huhakikisha kuwa wanachukiana wao kwa wao. Kwa ajili hiyo huishia, katika talaka. Kwa hiyo matatizo yanajengwa katika familia hiyo. Utengano au talaka inapotokea, watoto hawawezi kulelewa kisawasawa na mzazi mmoja. Watakosa uimara katika utu wao, shetani (jinni) anapata urahisi kuingia ndani ya mioyo na akili za watoto. Atawaongoza kuelekea mahali pasipofaa na hapo anawafanya wawe wahalifu katika jamii (Asili ya majini, sheikh Dr. Ahmad H. Sakr Uk 39)


Kwa mujibu wa Quran na vitabu vya kiislam huyo anayeamuru talka ni allah. S.W. Mungu wanayemuabudu waislamu.


Katika suratul, Ahzab(Makundi), 33:49.


" enyi mulioamini mtakapowaona wanawake wenye kuamini, kisha mkawapa talaka kabla ya kuwagusa hamna eda juu yao mtakayohesabu. Wapeni cha kuwauliza na muachane muachano mzuri"


Katika Suratul al- Baqarah, (Ng'ombe) 2:230.


" Na kama amempa talaka ya tatu basi mwanamke huyo si halali kwake baada ya hapo mpaka aolewe na mume mwingine, na mwanamume huyo mwingine akimwacha basi hapo hapana dhambi kwao mume yule wa kwanza na mwanamke huyo kurejeana wakiona watasimamisha mipaka ya Mwenyezi Mungu."


Kama shetani (jinni) huleta faraka ili talaka zitokee, basi Allah S.W. yeye ameamrisha talaka kwa wafuasi wake bila kujali athari za watoto zitakazotokea. Tafakari yeye ni nani?


Kumuabudu shetani (Jini)
Katika Suratul Sabaa, 34:40-41


" Na kumbuka siku atakayowakusanya wote, kisha atawaambia malaika, " Je hawa walikuwa wakikuabuduni?" waseme umeepukana na kila upungufu! Wewe ndiwe kipenzi chetu si hao bali walikuwa wakiwaabudu MAJINI; wengi wao waliwaamini hao majini"
" Shetani anapoamuru watu wamfuate pia anawaamuru wafanye madhambi na wakose maadili. Huwataka waseme uongo kuhusu Mwenyezi Mungu kutokana na kutokujua kwao. Wanaweza kusema kuwa sisi wanaadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu. Mungu alijifanyisha na kuwa umbile la kibinadamu. Mungu amezaa, na mwanaye niwa pekee. Zaidi ya hayo mwanaye si mtoto tu bali ni Mungu pia. Huyo mwana ni Bwana Yesu. Asiyeamini hivyo huchukulika kuwa ni kafiri au muasi hivyo ameangamia na atakwenda jehanamu" (Asili ya Majini, Sheikh Dr. Ahmad H. Sakr Uk 54)
Hapa ndipo sura halisi ya huyu shetani yaani jinni inapojitokeza. Yesu alipokuwa duniani kabla Muhammad hajazaliwa, wala Uislamu haujaanzishwa na Mohamed wala Quran haijaandikwa na wale waarabu wanne Seyidna Abubakar, Omar, Othuman na Ally, Majini yaani mashetani yalipomuona Yesu yalimwita " Mwana wa Mungu tuna nini nawe? Je, umekuja kututesa kabla ya muhula wetu? (Math 8:28-31) Mwaka 610 B.K majini hayo hayo yakaanza kuwadanganya waislamu kuwa Mwenyezi Mungu hana mwana (Quran 72:1-3) Na bila kuitafakari. Nao wao wanaamini tu kuwa Quran ni maneno ya Mungu bila kupambanua huyo ni Mungu yupi!!.


Katika Suratul An- Nisaa (Wanawake) 4:120


" Shetani hawaahidi ila uwongo………….."


Hii ndiyo sababu Mohammad mtume wa waislamu katika kitabu " Wakeze Mtume Wakubwa na Wanawe kilichoandikwa na Sheikh Abdallah Saleh Farsy Uk. 12, Mohammad anasema:-


" Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuni haribu akili yangu na kunizuga………………"


aliyasema maneno hayo baada yakubanwa na shetani (jinni) kule pangoni alikokuwa na baada ya hapo akaanza kujiita mtume. Hoja yetu ni mtume wa nani?


Katika Kitabu cha Ibn Ishaq 132-133


" Kama huyu shetani (jinni) ambaye amekupagaa wewe ni yule ambaye huwezi kumtoa, tutamtafuta mganga na tutatumia vyote tulivyonavyo kukutibu kwa kuwa mara kwa mara shetani (jinni) humpagaa mtu. Lakini anaweza kuondolewa. Mtume alikuwa akisikiliza kwa makini"


Kisha baadaye na yeye Mohammad katika Sahihi Muslim Juzuu 4 Hadithi na. 2814 kasema


" Wala hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa amepewa nguvu zinazotokana na majini. Wakasema (maswahaba) hata wewe mtume wa allah? Akasema hata mimi isipokuwa allah hunirahisishia juu yake hunyenyekea wala hayaniamrishi ila yaliyo mazuri"


Kwa hiyo majini ni ndugu za waislam Q. 46:29- ufafanuzi wake. Katika kitabu Asili ya Majini cha Sheikh Dr. Ahmad H. Sakr Uk 80 anasema " Imepokewa na Khalid Ibn Walid kuwa kuna wakati alipatwa na ukosefu wa usingizi basi mtume (S.A.W) akamwambia " Nikufundishe maneno ambayo ukiyasema utapata usingizi? Sema Ewe mola! Wewe ni mola wa mbingu saba na kile kilichofunikwa nazo. Nawewe ni mola wa ardhi na kilichomo humo. Nawe ni mola wa mashetani (majini) na maovu yao. Nakuomba uwe mlinzi wangu dhidi ya viumbe vyako vyote……….."


Hadithi hii inaonesha jinsi allah S.W. alivyo na uhusiano wa karibu na mashetani. Je, yeye ni nani?. Pia katika Q: 21:82, 34:12, 38:37 zinaeleza Allah alivyomtishia majini suleiman na yeye akiwa mlinzi wao hata kuwaadhibu wasiofanya vizuri.


Katika Quran 19:83 " Je, huoni ya kuwa tumewatuma mashetani juu ya makafiri wanaowachochea kufanya mabaya?"


Katika Sahihi Muslim vol. IV H. 2667, Sahihi Al Bukhari Vol Vii H. 6243, Sunan Abuw Daud Vol II H. 2152.


" Hakika Allah amemkadiria kila mtu kipimo chake cha zinaa, ambavyo haikosi kutimia kwake"


Tumeona kuwa majini au mashetani au pepo mchafu au Ibilisi walikuwa malaika walioasi walipotupwa chini huku duniani walitaka kurudi huko mbinguni lakini walishindwa.


Katika Q 72:8-10 (majini) majini yanasema
" Nasi tulizigusa mbingu (tulikwenda mbinguni) tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na nyota (zing'arazo) na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza lakini anayetaka kusikiliza sasa atakuta kimondo (kijinga cha moto) kinamvizia. Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanaokaa katika ardhi au mola wao anawatakia (heri).


Moja kati ya majina ya Allah ni AL-MUQADIM yaani, wa zamani (majina 99 ya Allah) majini yanajieleza kuwa hayajui Mungu wao ana watakia mazuri au mabaya wale wakaao duniani.


Mungu wa mbinguni anasema katika Biblia kitabu kilichokuweko kabla ya Quran.


Yer. 29:11 " Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA ni mawazo ya mani wala si ya mabaya kuwapa nyinyi tumaini siku zenu za mwisho.


Majini (mashetani) yanajua tu kuwa Yesu atayahukumu na hayajui lolote kuhusu mpango wa Mungu kumwokoa mwanadamu toka kwa shetani (majini).


Mtume Paul katika 2 Kor 11:14 " Wala si ajabu shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa Nuru………….." Pia katika 1 Tim 4:1 " Basi roho anena wazi wazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine (waislamu) watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani (majini)" Tafakari Kuu: Allah katuma mashetani (majini) wako katika dini yake ya uislamu, yeye mwenyewe pamoja na wafuasi wake walikuwa wakifanyia kazi Suleiman wa ndani ya Quran na yeye allah S.W. akiwa msimamizi (Foreman) wao, mwisho wao wote pamoja na allah S.W. mwenyewe ni katika Jehanamu ya moto.


Mwisho.
 
Allah ndio pepo/jini mkuu.


Tena wenzako hawawaiti jina hilo,huwaita "waarabu".
Hivyo basi hata allah ni muarabu.
 
Kama uklisto ni Dini ya kweli leteni ushaidi wa aya,atutaki bla bla
 

Attachments

  • 1396673929425.jpg
    1396673929425.jpg
    25.2 KB · Views: 257
KUMBE ALLAH NI MUISLAM NA YEYE ANASWALI NA KUTAWAZA KAMA VIUMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jamani eeeh, huu ni MSIBA kwa ALLAH:::::

Ndugu zetu wa kambo wanasema kuwa eti Allah ni Muislam. Basi leo hii mimi nimekubali kuwa Allah ni Muislam, lakini kuna mambo machache ningependa tuyaangalie:

ALLAH ANASWALI:
Quran 33: 56. Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu

Hapo Allah na Malaika wake wanamswalia Mtume Muhammad. Kumbe Allah na yeye anaswali kama viumbe. Hebu endelea kupata darsa

KABLA YA SWALA WAISLAM WOTE LAZIMA WATAWAZE
Kumbe Allah na yeye kabla ya swala lazima afanye "Taharah" ILI ATOWE "Najas".

Kufuatana na Surah Al Baqara, Allah anapenda watu ambao wanajisafisha. Lakini kama kukiwa hakuna maji basi Muislam anarughusiwa kufanya Tayammum ambayo ni "wudu" na au "ghusl". Si mnajua tena kule kwa Allah hakuna maji....

MASWALI:
1. Kwanini Allah aswali kama viumbe?
2. Kwanini Allah afanye "tahara" ili kutoa Najis?
3. Ni uchafu gani huo allah huwa anatoa/usafisha?

MaSwali haya yameenda shule. Nategemea wafuasi wa allah wataleta ayat kusaidia majibu zao bila ya Matusi.

Watakabahu

Hakika tunasubiri majibu kutoka kwa wafuasi wa Allah yasipokuja majibu Mimi ntajua huyo ndo Yule Yule shetani.Kuna haya moja Allah anasema naapa kwake yeye aliyeumba kike na kiume; sasa swali linakuja kumbe sio Allah aliyeumba kike na kiume!
 
Hivi unajua yesu alikua SHOGA????????




I truly believe that Jesus of
Nazareth was not a straight man
and there are plenty of facts to
prove it. That’s right, the man who
died for your sins may very well
have been a homosexual.
1. The son of God, a man that
had the power to surround
himself with hundreds of
women choose 12 men to
hang out with. 12 MALE
Apostles.
2. These 12 men all went by their full names. Nathaniel,
Phillip, Andrew, Mathew, Thomas and so on. This is
something that gay men are notorious for. If Judas was
into vagina he would have gone by Jud. Mathew would
have been Matt and Thomas would have been Tom.
3. His first miracle of turning water into wine. Please,
wine?! A straight male would have made that shit a Bud
Light and called it a day. But Jesus had class and taste,
he converted that H2O into Sauvignon Blanc Jerusalem
Valley 26 AD. Poof!
4. History states that he was a “craftsman” until the age
of 30. Some say that this translates into a carpenter. But
for the sake of my theory I am saying that a
“craftsman” was really an interior designer.
5. He was 30 and not married and in those days people
probably got married at 15.
6. He preached the importance of charity and loving one
another. Powerful straight men start wars and pay for
sex while their wives are at home with the kids.
7. Jesus had the power to do anything that he wanted. If
this man were a heterosexual male, the wrecker of
everything scared he would have created a machine
gun or the stock market. But the son of God, Jesus of
Nazareth, used his heavenly power to heal the sick and
give vision to the blind.

Ungetoa na mistari kutoka kwenye biblia au Quran ingekua vizuri kuliko kuandika bila ushahidi kama wengine wanavyofanya.
 
Hakika tunasubiri majibu kutoka kwa wafuasi wa Allah yasipokuja majibu Mimi ntajua huyo ndo Yule Yule shetani.Kuna haya moja Allah anasema naapa kwake yeye aliyeumba kike na kiume; sasa swali linakuja kumbe sio Allah aliyeumba kike na kiume!
ALLAH ANAAPA KWA ALIYE UMBA KIUME NA KIKE

Je Nani kaumba Kiume na Kike?
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….

Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?

Je, Mungu anaweza kuapa kwa Mwengine? Endelea kupata elimu …

Waebrania 6:13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.

Jehova anasema hakuna Mkubwa wangu wa kuapa kwake, lakini Allah katika Kuran anasema kuwa yeye anaapa kwa aliye umba kiume na kike.

Hivyo basi leo tunafahamu kuwa aliye umba ni Jehona na Allah anaapa kwa Jehovah Mungu wa Biblia na Wakristo.

Mungu awabairiki sana

Max Shimba

Copyright © Max Shimba Ministries 2013
 
[h=3]UTATA KATIKA UUMBAJI WA MAJINI[/h]
ALLAH: UTATA KATIKA UUMBAJI WA MAJINI
Je, Majini yaliumbwaje?

Leo hii tutajifunza UTATA wa Allah katika uumbaji wa Majini. Hebu tusome kwanza hii aya kutoka Koran iliyo shushwa na Jibril ambaye ni msaidizi wa Allah.

Quran 15: 27. Na Majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. ***

Katika aya hapo juu tumesoma kuwa Allah aliumba Majini kwa "MOTO" wa upepo Umoto. Hivyo ndivyo Majini yaliumbwa kutokana na Koran. Lakini nilipo soma kwa uzaidi na au undani Je, Allah aliumba vipi vitu vyote vyenye uhai, nilibakia nikishangaa kama Majini nayo yapo kwenye viumbe vyenye uhai. Hebu soma hii aya hapa chini.

Quran 21: 30. Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukaumba kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini? ***

Katika aya tuliyo isoma ya 30. Allaha anasema kuwa aliumba kila kitu chenye uhai kupitia 'MAJI" Je, Majini ni viumbe vyenye uhai. Kama ni kweli, kwanini Koran inatuambia kuwa Majini yaliumbwa kupitia MOTO.

Ndugu zanguni, leo, kwa mara nyingine tena Allah amesema UONGO.

Kwanini tumfuate Allah mwenye kigeugeu namna hii?

Katika Huduma yake

Max Shimba Ministries Org.
 
Bora ya MAGAZETI YA SHIGONGO KULIKO TAKATAKA NA UCHAFU WA BIBLIA... KUNYWA MAJI HALAFU SOMA TARTIIIIIIIBU


l
omission of the word Allah). This is in the Bible of the orthodox!
One is hard pressed to keep up with their Jugglery.
Bogus reply
 
jesus is bogus
BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
HUU SI NDIO ULIBERIA HUUU
 
Mfululizo Wa Mada Ya Majini (2)

(Na Prof. Dkt. Sheikh 'Umar Suleiman al-Ashqar)
imefasiriwa na Shaibu H.Kifea




Binadamu Hatuwaoni Majini Lakini Punda, Mbwa Wanawaona.
Wanadamu hatuwaoni majini kwa macho yetu japo tuko nao, tunapishana nao lakini wao wenzetu wanatuona. Wakati sisi wanadamu hatuwaoni majini, baadhi ya wanyama kama Punda kihongwe na Mbwa wanaofugwa majumbani huwaona Majini.
Katika vitabu vya Hadith vya Musnad Ahmad na Sunan Abu Dawud imenakiliwa Hadith yenye isinadi sahihi kutoka kwa Jabir kwamba Mtume (saw) kasema:
“Mkisikia mlio wa kubweka wa mbwa au mlio wa punda vihongwe wakati wa usiku, basi ombeni ulinzi kwa MwenyeziMungu kujikinga na Shetani kwani wanyama hao huona kile msichokiona nyinyi.”
Kisayansi, jambo hili si geni kwani wanasayansi wengi wamethibitisha kuwa wanyama wanaweza kufanya mambo mengi ambayo wanadamu hawayawezi. Kwa mfano, nyuki huweza kuona mionzi isiyoonekana kwa macho ya binadamu na pia huweza kuliona jua katika mchana uliogubikwa na wingu zito. Na bundi naye huweza kumuona panya usiku wa manane kwenye rundo la makorokoro au magunia ya nafaka yaliyoshonana.
Ibilisi na Jini
Ibilisi ambaye MwenyeziMungu kamtaja mara nyingi ndani ya Qur’an, anatokea katika ulimwengu wa Majini. Mwanzoni alipoumbwa, Ibilisi alikuwa akimuabudu MwenyeziMungu. Katika maisha yake ya awali aliishi pamoja na Malaika mbinguni. Akaingia mpaka Peponi.
Lakini baada ya hapo akamuasi Mungu pale alipokataa kumsujudia Adam kutokana na majivuno, kiburi na husuda. Kwa sababu hiyo, MwenyeziMungu akamfukuzilia mbali kabisa na Rehema Zake.
Kwa lugha ya Kiarabu, Ibilisi ni jina la jumla kwa muasi yeyote aliyetakabari. Jina hili hutumika zaidi kwa yule ibililisi mwenyewe kwa sababu yeye ndiye aliyetakari na kumuasi Mungu. Katika Surati Nisaa ya Qur’an, aya ya 76, Ibilisi katajwa kwa jina la Twaghuuti. Kwa mujibu wa kitabu kiitwacho “Ibilisi” kilichoandikwa na Bw. Aqad, Twaqhuut ndilo jina mashuhuri kwa watu wengi duniani.
Kiumbe huyu aliyeasi kaitwa jina hili kwa sababu amechupa mipaka kwa kumuasi Mungu na kudiriki kujikweza kama mungu wa kuabudiwa. Kiumbe huyu amekata tamaa ya kupata Rehema za MwenyeziMungu ndio maana Mungu kamwita Ibilisi (ibliis).
Neno Alabalas la Kiarabu maana yake ni yule asiye na kheri kwa nafsi yake. Na neno ublis maana ni aliyekata tamaa na aliyepotea. Wanazuoni wengi wa awali wamesema kuwa kabla ya kumuasi Mungu, kiumbe huyu alikuwa anaitwa azaaziil. Mungu ndiye ajuaye kama hilo ndilo jina sahihi.
Ibilisi ni kiumbe
Mtu anayesoma Qur’an na Hadith za Mtume (saw), anajua kuwa Ibilisi ni mmoja wa viumbe vya MwenyeziMungu ambaye ana akili, ana uwezo wa kuelewa mambo na kadhalika. Hayuko kama wasemavyo baadhi ya watu wasiomjuwa kuwa ni “nguvu ya uovu inayochukua sura ya silika mbaya katika sehemu ya unyama ya mwanadamu, nguvu ambayo humuongoza mtu pale inapokaa mahali pa silika njema ya roho moyoni mwa mtu huyo.” (Taz. Dairat al-Maarif al-Haditha, uk. 357).
Asili ya Ibilisi
Tayari tumekwishasema kuwa Ibilisi ni jini. Baadhi ya waandishi wa zamani na wa hivi leo wamepinga jambo hili. Wao wanatoa ushahidi wa tamko la Mungu kwa jamii ya Malaika kuwa wamsujudie Adam:
"Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri" [2:34]
Wanadai kuwa waliotakiwa kusujudu hapa ni malaika kwa sababu jina lililotumika kwa ujumla wao ni “malaikati”, kama kulikuwa na kiumbe mwingine asiyekuwa malaika basi tamko hilo halikumuhusu, kwa hiyo amri ya kusujudu isingemuhusu isipokuwa labda na yeye angetajwa kwa jina lake. Na kama amri ilimuhusu, basi na yeye alikuwa Malaika na huu ndio utaratibu wa kusemeshana.
Katika vitabu vingi vya tafsiri ya Qur’an na vitabu vya historia tunakuta maelezo haya haya kuwa ibilisi alikuwa ni wa jamii ya malaika na kwamba yeye ndiye aliyekuwa mtunzaji wa Pepo au wa mbingu ya chini kabisa. Alikuwa Malaika bora na wa kuheshimika na kadhalika. Katika sherehe yake ya Qur’an, Ibn Kathir kasema hivi:
Visa hivi vimepokewa kwa simulizi kutoka kwa wanazuoni wengi wa zamani. Visa vingi kati ya hivyo vimetokana na Hadith za Kiisraliati (ngano za Wayahudi na Wakristo) ambavyo lazima vichunguzwe kwa undani.
MwenyeziMungu tu ndiye Ajuaye usahihi wa simulizi za aina hii. Vingi ni vya uongo uliodhahiri kwani vinapingana na ukweli tulionao mikononi (Qur’an na Hadith za Mtume). Chochote kilichomo ndani ya Qur’an kinajitosheleza na hatuhitaji kutegemea visa hivyo vya watu wa kale.
Simulizi zao hazikusalimika na mabadiliko, nyongeza na upungufu. Watu hawa wametiya maneno mengi ya uongo katika simulizi zao. Hakukuwa na watu waadilifu miongoni mwao kama wale ilionao jamii ya Waislamu ambao wangeweza kulinda maandiko yao na simulizi zao zisiharibiwe na wakorofi.
Jamii ya Waislamu imekuwa na wanazuoni, wataalamu, Maimamu, Mahafidhi, na watu wachaMungu wa kuweza kuthibisha vipi kati ya hivyo ni zipi simulizi sahihi, ni zipi za kukubaliwa, ni zipi dhaifu, ni zipi za kutupiliwa mbali, ni zipi za kutunga na za uongo.
Waislamu walifahamu ni akina nani wazushi na ni nani waliosimulia visa hivyo bila wao wenyewe kujulikana ambao hawapaswi kuaminiwa kabisa. Hii ni kutokana na nafasi ya Mtume Muhammad na kwamba yeye ndiye muhuri wa Mitume na kiongozi wa walimwengu.
Kwa sababu hiyo, mambo ya kughushi na ya kupotosha hayakuweza kubambikizwa kwake na kukubaliwa na Wanazuoni.

Inaendelea ......

BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
HUU SI NDIO ULIBERIA HUUU

Elimu ya shule za kata,aya inamalizia wazi kutaja wanawake,yeye asema kuingilia wanawake ni ushoga.
 
Elimu ya shule za kata,aya inamalizia wazi kutaja wanawake,yeye asema kuingilia wanawake ni ushoga.

BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
HUU SI NDIO ULIBERIA HUUU

Hebu soma tena taratiiiiiiiibu!!!
 
BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
HUU SI NDIO ULIBERIA HUUU

Hebu soma tena taratiiiiiiiibu!!!
Kwani wewe neno la (kuingiliana) unalichukulia kivipi? neno kuingiliana linahusu Mwanamme kumuingilia mwanamke au kufanya nae mapenzi Sex ndio alivyokusdia kusema Mwenyeezi Mungu kwani wewe unajuwa maana ya kuingiliana? umesoma mpaka darasa la ngapi shule? au ndio umefika Divisheni 5? Nenda shuleni kamuuliza mwalimu wako wa kiswahili ni nini maana ya kumuingilia mwanamke mwalim wako atakujibu ipasavyo . Usilete maneno ya pumba hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom