Je majibu ya wachangiaji yanafutwa?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Nimeanzisha post yenye kichwa 'Nini Maana Ya Upinzani' na nimepata majibu mengi si chini ya kumi. Cha kushangaza nimeangalia sasa hivi ina majibu mawili tu? Je kuna mtu anafuta haya majibu hapa jamvini? Jamvi hili ni la kuchangiana mawazo na mengi ni ya kujenga na wengi wetu tungependeza kuyaendeleza. Naona kitendo cha kufuta majibu ya hoja sio kizuri. Kama mods ahawafanyi hivyo, basi wawe makini maana jamvi litakuwa limekuwa compromised.
 
Ni kweli kwanza kama watu wanatoa maoni yao halafu yanatolewa kutokana labda wtu kadhaa kutopendezewa nayo basi hamna haja ya kuwepo hii blog maana inapoteza maana yake. Umuhimu wa kuwepo ni kutaarifiana na yale yanayoendelea na kama kuna freedom of expression basi watu wawe huru. Kuondoa sehemu fulani ya habari zinazowekwa hapa ni kucompromise na uhuru wa habari. Jamani mbona tunarudi enzi zile za utawala wa woga na ubabe
 
Back
Top Bottom