Je, Maggid Mjengwa ndiye Mwanakijiji kama ilivyoelezwa na BBC?

Status
Not open for further replies.
PS: Mzee Mwanakijiji pia ni 'Mwanakijiji' wangu na mie ni ' Mwanakiji' wake, mwenye kubisha akamwulize!
Inaelekea unaona sana fahari kujihusisha na Mzee Mwanakijiji (Orijino), ndio maana unasema "ni mwanakijiji wako", na ndio maana kule BBC hukukanusha kwamba wewe si yule hadi uliposhtukiwa humu!

Maggid ni mtu makini na mwenye muono mpana na si kabisa Mzee Mwanakijiji ambae kazi yake ni majungu na ufataani usio na mfano.

Anajaribu kujifanya ni mwanafalsafa lakini hana zaidi ya "plagiarism" na fitna za hapa na pale kila kukicha, besides, mmkjj ni Mkatoliki ambae anaamini kabisa kuwa Nyerere ni mtakatifu, on the other hand, Maggid na usosholisti wake, anaelewa madhila aliyotutunukia nyerere.

Zomba salama Mkuu,
Hapo penye red panaashiria tuhuma nzito sana ktk tasnia ya uandishi na sanaa kwa ujumla. Nashauri utoe mifano ya kazi alizozi- pragiarise huyu Mwanakijiji ili uweze kuaminika ktk tuhuma zako.

Bahati nzuri Mwanakiji amekuwa akianzisha na kuchangia thread mbalimbali hivyo uko katika nafasi nzuri sana ya kuchukua thread zake 3 tu kuthibitisha tuhuma zako against the original works.

Jamani majid mjengwa siyo mwanakijiji.mimi namfahamu vizuri sana huyo mtu anayejiita mwanakijiji huyo ni tofauti na mwandishi MAJJID,yeye ni mwanaharakati zaidi na mda mwingi yuko nje ya nchi lakini ni mzalendo sana pamoja na mzee ngurumo...majid mda mwingi yuko njombe na mwanachama mzuri sana wa ccm,mda wake mwingi anashugulika na NGO yake pale njombe.na na hawezi kuwafanana na mwanakijiji...kama unataka kujua mwanakijiji ni nani muulize Dr slaa na Mbowe................majid hawezi kaa na hao watu makini..poleni baadhi ya wanajf kwa kutomjua mwanaharakati mwenzetu...

Ndugu yangu Ngofilo,

Kuna wanaodhani wanajua, na kuna wanaojitahidi kujua. Nakushauri usijiingize kwenye kundi hilo la kwanza. Njoo kwenye kundi la pili ambalo nami pia nimo. Tutapata wasaa wa kuulizana na kuyajua mawili matatu. Karibu sana!

Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway (akiwa Sweden) na hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji. Ina maana kwamba yeye kweli ni Mwanakijiji??

Labda atakuja kutupatia ufafanuzi kwanii mimi nijuavyo, Majid siyo Mwanakijiji wa JF a.k.s Mzee Mwanakijiji!

Je na mimi nikitambulishwa kama mtoto wa mkulimakuna haja ya kukanusha au mtoto wa mkulima ni Mizengo peke yake?

There are currently 29 users browsing this thread. (14 members and 15 guests)

Rutunga M

Kamkuki

mbongopopo

kisasangwe

maggid

maishapopote

ral

Gurta

Desteo

Sir. Burn

Redey

Kiroroma

jiccaman

Ngalangala

kwenye namba tano hapo juu,MAGGID tupe ukweli

Maggid amecomment humu, anasoma tu ni yeye... Amejitetea lakini mie sibuy bado nasubiri mzee mwanakijiji

Yaani huu mjadala kwa yeyote aliyesoma post tano za MM Kijji na Post tano za Majid. Angejua kufananisha hawa jamaa wawili ni kama kumfananisha Dr. Ki kwete na Dr. Slaa.

Ukitaka kujua kuwa maggid si MM, ni kuwa hakukanusha. Maana ndefu ni kuwa aliona ujiko kufananishwa na MM! Uwezo wao wa kufikiri, uandishi na hatimaye uchambuzi ni tofauti sana. Yaani ni kama nikimnukuu mkuu fulani"..... ni kama kichuguu na mlima Kilimanjaro"

Acha hizo kwa hiyo na nukta hizo mbili? Sikuamini unamjua acha kutetea.

sasa ndugu mimi na utani na wewe mwanakijiji ni rafiki yangu sana personally wakata nafanyakazi Detroit kabla sijahamia Illinois

Ukitaka kujua kuwa maggid si MM, ni kuwa hakukanusha. Maana ndefu ni kuwa aliona ujiko kufananishwa na MM! Uwezo wao wa kufikiri, uandishi na hatimaye uchambuzi ni tofauti sana. Yaani ni kama nikimnukuu mkuu fulani"..... ni kama kichuguu na mlima Kilimanjaro"

Lakini Bwana Choka mbaya

Mbona bwana Maggid Mjengwa kesha kiri kwamba yeye sie M.M.Mwanakijiji. Inawezekana Bwana Charles wa BBC alimuita ni MMMwanakijiji kwa kwa bahati mbaya tu.

Nakoleza maandishi tena kwa herufi kubwa, MAJJID anaheshima kwako na kwa familia yako, usinilazimishe mimi kumheshimu mtu ninaemini hastahili heshima.

Mkuu naunga hoja, to me the guy is crap, pro CCM

Mzee Mwanakijiji na Maggid Mjengwa, mpaka mnawagombania hivyo wamelifanyia nini Taifa letu mpaka wakumbukwe? Kwanza mimi siwafahamu

Kama wewe humfahamu hata mzee mwanakijiji pole sana mkuu. Mwanakijiji ni mmoja wa watu muhimu sana ktk forum hii. Anayeipenda sana Tanzania.

Jina Halisi la M.M Mwanakijiji ni Benjamini G. Mwalukasa, kwa wanaokumbuka, siku za nyuma alikuwa akiandika sana kupitia kijarida chake cha cheche akijitambulisha kama Benjamini G. Mwalukasa Mhariri. M.M Mwanakijiji ni ufupisho tu wa Mhariri Mkuu, hiyo mwanakijiji ni a.k.a katika kujidhihirisha kwake kuwa yeye ni mtu wa kawaida.
Si kweli kuwa Majid Mjengwa ndiye M.M Mwanakijiji kwa kuwa Majid Mjengwa hakuwahi kujitambulisha kama M.M Mwanakijiji, lakini pia, kupitia kijarida cha cheche, M.M Mwanakijiji amekuwa akitumia picha yake bila kificho, kwa wale watakaohitaji nakala ya kijarida hicho waseme tuwatundikie humu

Ni jina tu na yeye pia kalipenda ndio maana kakubali Charles Hillary kumwita hivyo. Hata mimi jina langu ukifanya search kwenye google utatupata wengine wengi tu.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom