Je Mabikra wote mko Hivi

Wana JF naomba kujua hili,...Kuna jamaa yangu wa karibu tulipokua mwaka wa kwanza chuo kuna binti alimfungua na kumuingiza ukubwani nadhani nimesomeka,tulipofika mwaka wa tatu akawa na mwingine wa form 5,naye alikua bado jamaa akawa mfunguzi tena,jamaa anadai alikua akikereka maana haikua kazi rahisi katika tendo zima kwa wote wawili,mwingine ilikua tabu hadi alimparua sana jamaa na kucha kifuani,huyu wa form 5,ilibidi zitumike siku mbili na vilevile jamaa wakati wa tukio hadi aling'atwa kidole cha mkono,baadaye wote walizoea akawa akiendelea na kujilia vyake baada ya kukaa nao kwa muda tofauti maana baada ya yule aliyekua nae mwaka wa1,alipomuacha akampata uyu wa mwaka wa tatu....wote hakufika nao mbali aliwaacha,jamaa kwa sasa anafanya kazi ofisi X hapa Dsm,SASA CHA AJABU WALE MABINTI SIKU ZOTE HAWAISHI KUMTAFUTA KWENYE SIMU,amebadili laini lakini bado wanapata hata namba mpya atakayoipata,kila mtu kivyakevyake maana hawafahamiani(hao mabinti)..KILA MMOJA HUSEMA HATAMSAHAU MILELE,nakutaka kama hana mtu warudi kwake,lakini jamaa ana mtu na ameshawahi waambia wote ila bado wasumbufu kila iitwapo leo,msg kwa wingi,mara naomba turudiane,Nikisikia umeoa nitaumia sana etc...Sasa wana JF,wana Saikolojia na wadada hivi Mabikra wote mko hivi???????????

Wala ata hao wanaigiza tuu
 
Walioweka nadhiri wanasubili ndoa...huwezi kuwa sure kuendelea na aliyekutoa bikra wakati hakuna mkataba kati yenu...kwanza hii heading iko wrong..."Je Mabikra wote wako hivi?" mtu aliyekwisha tolewa bikra ni bikra???

Na kama mtoa mada anauliza ma bikra haoni kuwa hawawezi kuwa na jibu kwa kuwa wao bado hawajaguswa???

Umeuliza maswali nliyokuwa najiuliza mimi....kama yalivyo
 
Wana JF naomba kujua
hili,...Kuna jamaa yangu wa karibu tulipokua mwaka wa kwanza chuo kuna
binti alimfungua na kumuingiza ukubwani nadhani nimesomeka,tulipofika
mwaka wa tatu akawa na mwingine wa form 5, naye alikua bado jamaa akawa
mfunguzi tena, jamaa anadai alikua akikereka maana haikua kazi rahisi
katika tendo zima kwa wote wawili.

Mwingine ilikua tabu hadi alimparua sana jamaa na kucha kifuani,huyu wa
form 5,i libidi zitumike siku mbili na vilevile jamaa wakati wa tukio
hadi aling'atwa kidole cha mkono, baadaye wote walizoea akawa akiendelea
na kujilia vyake baada ya kukaa nao kwa muda tofauti maana baada ya
yule aliyekua nae mwaka wa1,

Alipomuacha akampata huyu wa mwaka wa tatu....wote hakufika nao mbali
aliwaacha,jamaa kwa sasa anafanya kazi ofisi X hapa Dar es Salaam, SASA
CHA AJABU WALE MABINTI SIKU ZOTE HAWAISHI KUMTAFUTA KWENYE
SIMU,amebadili laini lakini bado wanapata hata namba mpya atakayoipata,

Kila mtu kivyakevyake maana hawafahamiani(hao mabinti)..KILA MMOJA
HUSEMA HATAMSAHAU MILELE,nakutaka kama hana mtu warudi kwake,lakini
jamaa ana mtu na ameshawahi waambia wote ila bado wasumbufu kila iitwapo
leo,msg kwa wingi,mara naomba turudiane,Nikisikia umeoa nitaumia sana
etc...Sasa wana JF,wana Saikolojia na wadada hivi Mabikra wote mko
hivi???????????

mim siko ivo maana kamwe sitopashaga kiporo.
 
Kumbe eeeeehhhhhhhhhhhhhh,lakini inasemekana hao wote walikua above 18,si wakubwa hao au?

Mkuu huwa hata miaka 23 wapo hawajaingiliwa, kumbuka hakuna kitu kinachoitwa bikra kwenye uke bali bikra ni kutoingiliwa hata siku moja. kwa vile hajawahi ingiliwa ni lazima apate taabu kama anaingiliwa kwa mara ya kwanza, wengine huvumilia na wengine hupata taabu na kupiga kelele. Ni kweli wana taabu sana watu wa aina hii kama unamuingilia kwa mara ya kwanza.
 
Upumbafu unaendelea hapa. Ila unaonekana kuungwa mkono coz ni ushenzi kama ushoga ivi. Poa,k mwendelee kubikiriana na kuachana n.k. Mungu atawapa nafasi mwendelee na ufirauni mlouzoea..Dunia imekwisha na Israeli itaimamarisha utawala wake. najua waislamu kwa wakristu twatofautiana mawazo ila kila la kheri
Mmmmh! wewe vp? mambo ya uislam na ukristo yameingiaje?
 
Back
Top Bottom