Je Lowassa anahudhuria vikao vya Bunge vya sasa hivi?

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
345
Hodi wanaJF! Naomba kujuzwa na wanaojua. Hivi EL, RA na Chenge wanahuduria vikao vya bunge vinavyoendelea? Nauliza kwa sababu wameandamwa sana na chama chao. Kama wanahuhuduria basi ni majasiri sana mafisadi hawa.

Ahsanteni
 
aliomba ruksa ya spika kwenda Nigeria, spika hajui kama amerudi
 
Nasubiri three boys team itakakoibukia - Tunamalizia countdown ya nape ili atangaze kuwatimua uanachama - still 5 days to go..... lol
 
AC nilimwona siku moja ila RA kwa sababu hata akiwepo huwa hachangii chochote sijui kama yupo au hayupo. Ila EL sijamwona, labda bado yuko Nigeria.

Nadhani EL anajiaandaa na mkutano wa NEC ambao uko karibu sana na ambao ndiyo hatima yake katika mbio zake za 2015. Nadhani yuko kwenye strategy akijiandaa kumalizana na wenzake siku hiyo. Huu mkutano na hisi unaweza kuahirishwa ili wajipange zaidi na kuvuruga strategy zake.
Sisi tuvuteni vigoda vyetu tuangalie mwisho wa hii ngoma ya mdumange.
 
Lowasa namwona Bungeni, mie namwona Lowasa kama kondoo wa kafara, sidhani na nakataa kumdhani Lowasa kama fisadi wa Dowans, anachafuliwa kisiasa kwa hofu kwamba atagombea katika uchaguzi wa 2015. Tumsaidie Lowasa ili atujuze siri zilizo nyuma ya Dowans ambayo imebadilisha jina lake katika siku za karibuni. Chenge wajua vizuri nani katufisadia Dowans and Rada. Tusiwapige hwa kwani watatusaidia maana wameisha salitiwa na chama chao na ukweli ni kwamba hawa sio mafisadi. Fanya utafiti..wanasulutiswa na gamba CCM na serikali yake kuficha siri huku wanageukwa na kusalitiwa. Karibu wanatuambia ukweli.
 
Hivi hizi zahanati zinazofungwa kwa kisingizio cha kukosa watalaam kama serikali ingetuma hawa watalaamu si wananchi wangesaidika sana kuliko wanavyozifunga na kuwaacha wanachi bila matumaini?Unasemaje kuhusu hili? Zile milioni 50 za kumkamata Mbowe kama zingetolewa kama fungu la kuzihudumia zahanati hizi si ingesaidia kuokoa maisha ambayo serikali imeshindwa? Serikali ikumbuke kuwa ni jukumu lake kuwahudumia wananchi wake na knapotokea sekta binafsi kusaidia serikali iunge mkono na si kufunga, mbona zahanati za serikali ndio ziko hoi na hazifungwi?
 
hivi hizi zahanati zinazofungwa kwa kisingizio cha kukosa watalaam kama serikali ingetuma hawa watalaamu si wananchi wangesaidika sana kuliko wanavyozifunga na kuwaacha wanachi bila matumaini?unasemaje kuhusu hili? Zile milioni 50 za kumkamata mbowe kama zingetolewa kama fungu la kuzihudumia zahanati hizi si ingesaidia kuokoa maisha ambayo serikali imeshindwa? Serikali ikumbuke kuwa ni jukumu lake kuwahudumia wananchi wake na knapotokea sekta binafsi kusaidia serikali iunge mkono na si kufunga, mbona zahanati za serikali ndio ziko hoi na hazifungwi?

off point bana!!!
 
Kama Mtu aangalii TV wakati wa vipindi vya Bunge Atamwonaje Lowassa!
Huu ndio Uvivu wa Wa-tz walio wengi!Kupenda Kutafuniwa na Kulalamika Kwingi!
 
EL na AC ndani mjengoni!!!!infact AC mara nyingi huwa yupo mjengoni.but RA sijamuona mda mrefu sana!!!!!nackia yuko busy huko Asia kibiashara zaidi
 
Back
Top Bottom