Je Libya itageuka Irak nyingine?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Habari zilizorushwa na kituo cha Televisheni cha Al Jazeera ni kwamba kiongozi wa muda wa Libya Mustaafa Abdul Jalil amekiri kushindwa kuimiliki Libya baada ya kumwangusha na kumuua imla wa zamani Muamar Gaddafi. Je kwa mara nyingine tutashuhudia Irak nyingine? Je mataifa ya Magharibi yaliyompindua Gaddafi yako wapi? Taarifa zilizopo ni kwamba yameshindwa hata kuuamini utawala mpya!
 
Wengi watauwawa na hilo ndio lilikua lengo la Marekani na Ulaya, Ghadafi auwawe watengengeze nchi isiyo na dira wala uongozi iwe rahisi kuiba , hivi ndivyo wanajaribu kufanya Syria, ashukuriwe Mungu Russia anasaidia na pia Hizbollah nao wanaingia na Iran mambo yanaenda vizuri sna...ila ukweli ni Kwamba Libya will never be the same, maana kwanza ile nchi tangu awali ilikua na Ukabila mbaya sana..Ghadafi aliidhibiti sana..R.I.P Muamar true son of Afrika...
 
Habari zilizorushwa na kituo cha Televisheni cha Al Jazeera ni kwamba kiongozi wa muda wa Libya Mustaafa Abdul Jalil amekiri kushindwa kuimiliki Libya baada ya kumwangusha na kumuua imla wa zamani Muamar Gaddafi. Je kwa mara nyingine tutashuhudia Irak nyingine? Je mataifa ya Magharibi yaliyompindua Gaddafi yako wapi? Taarifa zilizopo ni kwamba yameshindwa hata kuuamini utawala mpya!

Naam ni wazi, Libya nchi ya maziwa na asali chini ya Muamar Gaddafi sasa chini ya vibaraka wa Magharibi itakuwa nchi ya damu, njaa, magonjwa, visasi na lawama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom