Je, Leicester City ndio mabingwa wapya Ligi kuu Uingereza?

mimi nawasikitikia sana arsenal, maana ndio ulikua msimu wao huu, na hautakaa utokee tena
yaani WAMENIBOA HADI BASI
Hivi kwa nini kila mtu kakazana ni msimu wa Arsenal? Kwani timu zingine hamna? Kombe atabeba yeyote kama siku zingine. Atakayeshinda ndo anastahili. Sisi wa Arsenal tunaamini tutabeba, ila nawashangaa na watu wengine wako bize kusema ni mwaka wetu huu, hata mwakani na kuendelea ni mwaka wetu. EPL imebadilika, jinsi ilivyo msimu huu ndivyo itakavyokuwa misimu mingine, hamna cha sijui chelsea itarudi, sijui Guardiola kaja mara Mourinho sijui, hamna! Ligi itakuwa competitive hivi hivi na siai tutaendelea kuwa in the mix of things.
Ndoo tunabeba, leicester watakuwa wa tatu, mancity wa pili na Manu wa nne.
 
Wanacheza good counter attacking football at its best na hii ni kutokana na pace walio nayo upfront.
.vardy mahrez okazak abrighton..plus their midfiedlers...khs ubingwa nothing to say
 
Actually arsenal kama wanataka wapotee kabisa wambadilishe kocha. Yaani watapotea zaidi ya Manchester united !
Nani aliyekudanganya kuwa Man United wamepotea!! Labda wewe unaisemea Liverpool na sio Man United.
 
Man city asipokuwepo aguero wanakuwa wanyonge sana ila wamenisikitisha mech ya jana loh, inabid next week aseno tuwapunguze kasi hawa jamaaa lasivyo itakuwa majanga
 
Wapo nafasi Nzuri five points clear and thirteen games to go seven of those games at home . Game ngumu ni against arsenal na Chelsea ambazo pia wanaweza kushinda
 
Hivi kwa nini kila mtu kakazana ni msimu wa Arsenal? Kwani timu zingine hamna? Kombe atabeba yeyote kama siku zingine. Atakayeshinda ndo anastahili. Sisi wa Arsenal tunaamini tutabeba, ila nawashangaa na watu wengine wako bize kusema ni mwaka wetu huu, hata mwakani na kuendelea ni mwaka wetu. EPL imebadilika, jinsi ilivyo msimu huu ndivyo itakavyokuwa misimu mingine, hamna cha sijui chelsea itarudi, sijui Guardiola kaja mara Mourinho sijui, hamna! Ligi itakuwa competitive hivi hivi na siai tutaendelea kuwa in the mix of things.
Ndoo tunabeba, leicester watakuwa wa tatu, mancity wa pili na Manu wa nne.
Kwa sababu team kubwa karibia zote zinafanya vibaya sana ila Arsenal yetu ndo inaperform vizuri! Labda nikukumbushe hii Epl ilianza huu mtindo wa Top four(ngumu) mwaka 2004 na tangu hapo Wenger amegeuka fala flan! Kimsingi naamini Wenger hawez competition kabisa! Labda akafundishe Madrid ili Barca akiwa mbovu anachukua ndoo na ndicho alichokiwa akikifanya huko nyuma! Yeye na Man ndo walikuwa wababe wa Epl hivyo Man alipokosa basi alipata yeye tofauti na sasa! I dont trust Wenger anymore na am sure tutakuwa no 4 msimu huu! Tunza coment yangu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom