Je, kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanaringa?

jelly bean

mkuu, ngoja nikupe experience:

wanawake wanene hawana jipya. nilikuwa nadhani wana deal lakini tangu nilipotoka na mwanamke mnene sina hamu nao tena. wanawake wa namna hii ni goigoi mno kitandani na hawana flavour yenye tija ukilinganisha na wale wembamba. usirogwe kumshobokea au kumchukua mwanamke mnene...utajutia kuwa naye.

hii research yako uliconduct vibaya! its either ulikunywa valuu au power no.1 za Malawi zile! mbona vi virse versa? nahisi ULIKABIDHIWA JEZI WAKATI HUJAUSOMA MCHEZO.
 
Last edited by a moderator:
Nimefanya kautafiti kadogo nimegundua kua wanawake wenye makalio makubwa wanaringa sana hata kama ni mbaya usoni lakini nyuma amejaliwa anakua anajisikia sana tofauti na wembamba je hii inatokana na nini?

Naomba experience zenu wana JF

Ile ni Asset kaka.Biashara kubwa
 
jelly bean

mkuu, ngoja nikupe experience:

wanawake wanene hawana jipya. nilikuwa nadhani wana deal lakini tangu nilipotoka na mwanamke mnene sina hamu nao tena. wanawake wa namna hii ni goigoi mno kitandani na hawana flavour yenye tija ukilinganisha na wale wembamba. usirogwe kumshobokea au kumchukua mwanamke mnene...utajutia kuwa naye.
Yani wabongo bana, umechukua demu mmoja mchafu mchafu, mvivu mvivu, basi ume generalize na kuconclude! Dogo inatakiwa kila mwaka unapiga kama mpya 20 halaf baada ya miaka kumi ndo unaleta mrejesho. Wanawake wote ni wazuri na wanasisimua kivyao , ishu ni namna mtu anavyojituma na kurispond. Pia inategemea unapenda zaidi figa ipi. Mchezo unaanzia kwako.. Wewe ndo key player
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom