Je, Kwanini wanawake wa kizungu wanavutiwa kimapenzi na wanaume wa Kimasai?

Kwa ushahidi wa ndugu zangu Watano....wote wamezaa na wanawake wa kizungu...kuna watoto wengi sana wa kimasai(TZ) kule USA,Canada,Finland,Swiss,German....Ma Clasmet wangu Std.VII wote wamezamia Ulaya na Marekani ni mmoja tu ndo aliwahi kurudi na wanawe bongo but the rest wamezamia Helsink,Minesota,Cologne,...kudadeki ni mimi tu ulofa wangu kujifanya kutaka kwenda Sekondari nikapishana na gunia la hela...R.I.P mimi....wazungu wanatukubali sana....Siri ya wazungu kudate na Moran nitawapa in deep kesho...story zingine ni matokeo tu...asili ipo...Stay tuned
 
Back
Top Bottom