Je kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?

herbsman

Member
Apr 29, 2011
81
57
Wakuu,

Jamani nimejaribu kufanya tathmini ndogo sana ila nimegundua ndo nyingi siku hizi hazidumu kwa nini? nimegundua sababu kubwa inayofanya ndoa kutodumu kwa muda mrefu je, wewe umegundua?
 
Actually mimi naichukulia very positive, zamani kulikuwa na misingi ya ndoa ambayo ni tofauti na mapenzi, wake kwa waume walipenda kusifiwa kwa kukaa muda mrefu kwenye ndoa so walikuwa wanavumilia hata machungu yawe vipi lakini siku hizi wanawake tumeelimika, wanaume they dont give a damn sijui they are married or divorced, <hapochacha> kama hakuna mapenzi hakuna ndoa ukinicheat nakusamehe ukirudi imetokaa hiyo nacofirm hakuna kitu naanza mbele kusaka mapenzi LOL...<bittertruth>
 
nafikir sasa hv ndoa ni kuish pamoja na si muungano wa kiimanu. hvyo mke akihis anaweza kujitegemea hana muda wakupoteza na mahtaj yake yatimizwe bila kujadili, kama huwez ndio hakuna uvumilivu mapenz ni pesa kama haunisahau mapenz visa haviish
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Aisay mbona kila kukicha watu ndo kwanza wanabana kimya kwenye ndoa zao.
 
Mi nafikiri kuna swali la msingi la kujiuliza kabla ya kusema ni kwanini zinavunjika, NI SABABU GANI ZINAWAFANYA WATU WAINGIE KWENYE NDOA? Sasa hizo sababu ndizo pia zinazowafanya watoke au hizo ndoa zivunjike ntakupa baadhi ya sababu
  • Kunakuwa na mimba zisizotarajiwa zinazopelekea watu kulazimika kuoana huenda bila kuwa na real commitment

Ntaendelea na nyingine.......
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Nahisi wanandoa wengi hawakuwa tayari kuoana inawezekana walioana kutokana na misukumo kutoka nje kama wazazi,marafiki au hata pia inawezekana kuna mmoja wao alimlazimisha mwezawake.
 
Jamani nimejaribu kufanya tathmini ndogo sana ila nimegundua ndo nyingi siku hizi hazidumu kwa nini? nimegundua sababu kubwa inayofanya ndoa kutodumu kwa muda mrefu je wewe umegundua?

Wanaume tumezidi kula chpsi I think...
 
ni kweli ,umesema kweli mtoa mada, yaani ulimwengu mzimaa, hakuna ndoa za kweli wala mapenzi saiv ,balaa tu , lakin kuna reason nyingi sana tu juu ya kuvunjika kwa ndoa za saiv
 
Habari zenu wana MMU!
Naomba tusaidiane juu ya hili jmn. Kwann ndoa za siku hizi hazidumu? Ni kukurupuka au ulimbukeni jmn? Ndoa hata mwaka hazimalizi?
Naomba wenye productive ideas wakaribie tuwekane sawa juu ya hili.
Karibuni.
 
lara 1 ana majibu.Ni kungwi maarufu hapa JF,Ana funda wana''mwali'' na kutoa ushauri wa kukabiliana na migogoro isiyo na kikomo katika ndoa.
NB:AT YOUR OWN RISK.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom