Je kwa namna hii naweza kuambukizwa ukimwi?

nzedanze

Member
Jul 13, 2011
44
1
Habari zenu wanajamii...nauliza eti kama mwanamke mwenye virusi vya ukimwi akininyonya uume usiokua na mchubuko anaweza kuniambukiza ukimwi?
 
Ndiyo unaweza kuambukizwa kupitia mate yake au hata michubuko midogo ambayo si rahc kuona kwa naked eyes.! Pole sana kama umepitiwa na nakushauri uka test blood yako after a month kujua nini hatma yako.
 
ngozi ya mdomoni kwa kaakaa la juu ni laini sana. fikiria ni mara ngapi ukipiga mswaki unatoka damu. kunyonyana ndimi risk yake inakuwa ndogo sana, lakini kwa uume nadhani its a bit too risky. na wataalamu wanasema 'no oral sex', nadhani ni kwa wote. hebu vuta pumzi kwanza, wacha hizo.
 
nzedanze... Hakuna UKIMWI Maneno ya watu tu... Watu wanachonga sana kuhusu UKIMWI lakini hakuna ki2 kama hicho...
 
Utakua salama tu endapo hautapata mchubuko kabisa, risk ni kubwa kwanini uchezee shilingi kwenye tundu la choo
 
Haaaaaaa Ulikuwa unaonaaaaaaa utamuuuuuuuu hahahaaaa you heard????? utapata HIV endapo huyo aliyekunyonya ana michubuko na wewe kwa mashine yako kukiwa na michubuko then michubuko ikagusana hapo ntoleeeee!!! ULEVI NOMAAAAAAAAAAAA
 
mpumbavu mkubwa wewe kimba kasoro mavi ilitujue unanyonywa sana uume au peleka ujinga wako huko mwanaharamu wewe hii ni sehemu ya kusaidia watu.Punguani mkubwa wewe kazi kuiga kila jambo kesho utakuja kuuliza jee nikinyonywa makalio au Anus itakuwaje.KUBWA JINGA WEWE.
 
Kupata ukimwi inategemea situatio kuliko action kma hamkuwa na mchubuko u're safe otherwise loliondo.
 
mpumbavu mkubwa wewe kimba kasoro mavi ilitujue unanyonywa sana uume au peleka ujinga wako huko mwanaharamu wewe hii ni sehemu ya kusaidia watu.Punguani mkubwa wewe kazi kuiga kila jambo kesho utakuja kuuliza jee nikinyonywa makalio au Anus itakuwaje.KUBWA JINGA WEWE.
Ningekua na uwezo wa kumtoa mtu uanachama wa Jamvini wa kwanza ni wewe...ninapouliza swali kama hili haina maana kua mm nafanya hivyo ila ni maada ambayo myaweza kutoa Fundsisho kwa watu ambao bado wako Gizani kama wewe hata hivyo siwezi kurudisha tusi lolote kwako maana na Imani unatawaliwa na ujinga...ninawasisi kama hata hiyo Elimu ya darasa la saba kama ulimaliza.
 
seriously, was this necessary?

Back
Top Bottom