Mfwalamanyambi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 433
- 102
Wakati watu wengi wakipewa nafasi ya kumkaribisha Rais wa Tz wanaanza na maneno kama vile, ... Ndugu, Mh, Dr. ....... Leo kwenye sherehe za kumsimika Askofu Ndimbo pale jimboni Mbinga, kiongozi (Askofu) mmoja alipewa nafasi ya kumkaribisha Rais, kaanza kwa kusema "sasa namkaribisha J....K.... bila kuweka yale maneno muhimu ya kumtambua kiongozi, je hapo amekosea ?