Je kutumia simu(tethering) kama modem,je bundle inaisha haraka?

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,843
8,232
Kwa wajuzi wa IT nuliza je kutumia simu kama modem(tethering) kwenye computer,je ukiweka bundle inaisha haraka au la ?najua ukitumia simu kama modem unapotumia muda wa kawaida huisha haraka kuliko ukiweka muda wa kawaida kwenye modem.
kwa mfano kama simu ina muda wa sh 3000 ukitumia simu yako kama modem,muda utaisha haraka kuliko kama umeweka shs 3000 kwenye modem na ukatumia kwenye computer yako.
 
tumia bundles, modem ina nguvu kubwa na bandwidth kubwa, automatically matumizi kwenye modem yatakuwa juu.inategemea na kazi unazozifanya pia, kama unadownload, au kusurf pages tu.
 
VYOTE NI SAWA!mfano ukiwa na modem alafu chip yako ikawa na MB 400,Hiyo chip ukiiweka kwenye modem na ukadownload file la mb 400,mb zitaisha let say for 30 minutes,this will be the same to mobile phone bt they will differ in time,the mobile may download that file for 2hrs but at the end zote zitamaliza mb bundle za kwenye chip yako!
 
Back
Top Bottom