Je kutumia body spray deodorant kuna madhara?

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
Wakuu naomba kujuzwa kama kutumia body spray perfumes na deodorant kuna madhara mwilini. Maana kuna nyingine ukijipulizia mwilini, unajisi kama mwili unawaka moto.
 
Kama unapata burning sensation basi tafuta za aina nyengine...kuna roll-on, gel (invisible solids), zipo za unga pia.
 
Asante sana mkuu NN kwa ushauri wako mzuri.
 
Back
Top Bottom