Je kunaulizima wa kufanya hivyo......!!!?

Nyundo Kavu

Senior Member
Dec 6, 2011
186
85
Wadau, katika kupitia baadhi ya posts nimegundua baadhi ya wanajamii wengine huwa hawatumii maneno mazuri kabisa katika kukosoa mada husika! Najua hata baada ya kuandika hivyi kuna ambao watakurupuka kama kawaida kutuma "negative" comments about this....

Najua wote humu dhumuni letu ni kuelimishana na kukosoana kiustaarabu na kwa njia hiyo inaonesha kuwa wana jamii wameelemika na wanajua nini wanachofanya humu....

Naomba "waheshimiwa" tuondoke katika dhana ya kukosoana kwa kukurupuka na badala yake tutumie evidence na ueledi wakati wa kukosoa MADA husika. Aksanteni.
 
Hapo Nyundo Kavu umenena. Inasikitisha kuona Great Thinkers wakiandika upuuzi kama wapo vijiweni. Tuweke mifano ili tuigwe. Kosoa, kwa kuelimisha sio kwa kebehi ili watu wacheke.
Usikurupuke kama magamba halafu baadae ukajisuta nafsi yako. Onyesha uelewa wako na faida yake si lazima uione. Muungwana atakayefaidika atakujuza hapa hapa.
 
Back
Top Bottom