Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je kunamadhara ya kujamiana na mtu mwenye mimba

Discussion in 'JF Doctor' started by lomwe minja, Apr 27, 2013.

 1. l

  lomwe minja Senior Member

  #1
  Apr 27, 2013
  Joined: Apr 5, 2013
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nimeoa mke wang sas ana mimba ya miez 8 na anatak tujamiane e kunashida
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2013
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,491
  Likes Received: 1,669
  Trophy Points: 113
  shida kubwa sana....unajua mtoto anageukageuka sana katika stage hiyo.......ukijaribu tu unaweza kumdunga kichwa akawa taahira......au ukamdunga rasa ikawa tabu zaidi baadae........

  Dr Preta........
   
 3. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2013
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli, acha bana asije kuwa na akili kama ya ze marcopolo.
   
 4. d

  dav22 JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  da hizi coment full comedy.....
   
 5. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2013
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,504
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 63
  Au awe na maradhi kama ya Lukosi
   
 6. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2013
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,107
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 48
  Msifanye bana..one month to go kumbe hamu inakuwepo?
   
 7. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2013
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  au akawa na akili kama ya Mulongo sijui Mulugo.. balaa
   
 8. bin-kalolo

  bin-kalolo New Member

  #8
  Apr 27, 2013
  Joined: Apr 22, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri tu hakuna shida ila brush tu!
   
 9. s

  sugi JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2013
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,204
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  acha kabisa kuna sehemu ukimgusa tu basi,yaaan ankuwa anajisikia kussafiri safiri tu muda wote,sehemu ya kuwasiliana kwa mtandao atatamani aende tu,akiona gari atatamani kupanda,ndege ndo usiseme,acha kabisa hlo ni tatizo usijetuletea mbegu za laana hapa Tanzania
   
 10. s

  sugi JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2013
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,204
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  acha kabisa kuna sehemu ukimgusa tu basi,yaaan ankuwa anajisikia kussafiri safiri tu muda wote,sehemu ya kuwasiliana kwa mtandao atatamani aende tu,akiona gari atatamani kupanda,ndege ndo usiseme,acha kabisa hlo ni tatizo usijetuletea mbegu za laana hapa Tanzania
   
 11. SalimMhina

  SalimMhina Senior Member

  #11
  Apr 27, 2013
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh!teh!teh!
   
 12. l

  lomwe minja Senior Member

  #12
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 5, 2013
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimewapata ndug
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 26,789
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 113
  Umewapata nini sasa? Mkeo si anaendaga clinic? Anaona aibu kuuliza daktari wake?
   
 14. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2013
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 13,395
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 63
  asante Dr
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2013
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 12,806
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 83
  We twanga na kupepeta hadi mwisho. Komsingi angalia usijetumia stile ambayo itamfanya ajikunje hadi kumuumiza mama na mtoto
   
 16. Mchumia Rungu

  Mchumia Rungu JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 758
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 18
  Wakati mwingine kwa baadhi ya wanawake, pembeni ya K*ma kipindi hicho huwa kuna fungus ambao humfanya mke ajisikie kukunwa mara kwa mara.

  Kujamii ana kipindi hicho hakuna madhara iwapo umechagua style ambayo haitampa mke maumivu na kuleta madhara kwa mtoto. Mimi huwa najamii ana na mke wangu hata siku moja kabla ya kujifungua. Wakati mwingine uchafu ulikutwa kichwani kwa mtoto ambaye haikumwathiri maana kimasomo, he does well!

  Mpe mwenzako maana hiyo kwake ni tiba.
   
 17. 1

  124 Ali JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 3,393
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 63
  We!we!we! acha hiyo makitu !ina athari kubwa ,so addictive tena tamu! kila siku utataka wife akujie kimimba mimba!wacha ndugu tena huo mwezi ndo balaa huachii mpaka siku ya kuzaa!
   
 18. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2013
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,122
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Mmesubiri afike miezi minane ndo mfikirie nanihii?
   
 19. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2013
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 25,143
  Likes Received: 1,402
  Trophy Points: 113
  wapi Dr Mzizi Mkavu?
   
 20. S

  Solarpanel JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2013
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 233
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhmm huyo mwanamke nae balaa,me kipindi nina mimba nilijali zaidi kiumbe kilichopo tumboni na si mengineyo,aache mapepe huyo mama mwenye mimba
   

Share This Page