Je,kunahaja ya kuhamishia makao makuu dodoma?

BITTY NGUZO

Member
May 26, 2009
32
4
Wana JF,nawauliza hivi baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna haja ya kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma?
 
kwanza dodoma inatakiwe iwe kwenye guiness book of records. ndiyo mji mkuu peke yake duniani usiokuwa na traffic light (taa za kuongozea magari). acha wang'ang'anie dar. bora watoke nyumbani kwenda kazini saa kumi na moja alfajiri warudi saa tatu usiku. dom pibereshwa ni pazuri sana lakini. panafaa.
 
Duh! na pale magogoni si ndio baharini kabisa....


yaani yale mawimbi yakipiga pale maji yataingia mpaka chumbani kwa mkuu.

bora tu waangalie namna ya ama kuhamia dodoma au wabaki Dar lakini isiwe ufukweni namna hiyo.

2005 nilipata kuyashuhudia maji ya tsunami pale feri. Ogopa! maji yaone kwenye glass tu au kwenye chupa za uhai au kwenye viroba. yakipata msukosuko wala usiyasogelee. vile vipantoni vilikuwa winapelekwa popote maji yalipotaka kwenda. hakuna binadamu alithubutu japo kuyakanyaga.
 
Wana JF,nawauliza hivi baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna haja ya kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma?
Kwani makao makuu ya nchi yapo wapi hadi sasa?ninapendekeza makao makuu ya wizara zote yahamie Dodoma hata kesho!
 
teh! Hii ni ndoto, kwan Dodoma upepo wake unaharufu ya samaki? Ile shombo mhm sana kwa ufanisi wa mh. Usidharau shombo ya mAgogoni bwana! Dom kwenda mpaka fulani awe prezoo!
 
Back
Top Bottom