Je kuna umuhimu wa serikali kuchukua hatua kwa waajiri wanaokiuka sheria za kazi nchini?

ABBY MAGWAI

Member
Oct 4, 2011
22
0
Limekuwa ni jambo la makusudi na la aibu kwa waajiri nchini kukiuka kwa makusudi sheria na haki za wafanyakazi nchini.
zipo taasisisi nyingi na hasa za binafsi bila kujali utu na miongozo ya sheria za kazi ,zinakandamiza kwa makusudi haki za wafanyakazi. kwa mfano,mfanyakazi anapomaliza mkataba au vinginevyo anapotaka kuwa likizo,waajiri wengi hawatoi malipo ya likizo mbali na mshahara, waajiri wengine hawatoi malipo wakati wa likizo ya uzazi na wengine hata huo mshahara wakati wa kumalizia mwaka mfano mwezi desemba hulipwi.hii ni sawa? serikali halioni hili kuwa ni tatizo.
 
Back
Top Bottom