Swala la kuchukua jina la mwisho/ukoo (Surname) la mwanaume halina uhusiano na divorce rate au kudumu au kutokudumu kwa ndoa.
Kuchukua jina la mwisho/ukoo la mwanaume ni utamaduni tulioletewa. Kuna sehemu nyingi tu duniani watu wanaoana na kuendelea na majina ya koo zao. Kwa wenzetu wazungu na hasa Waingereza ni pale walipokuwa wanaliangalia swala la kuolewa kwa mwanamke kama mtu kuacquire property ndipo swala la kuchukua jina hilo la mwisho/ukoo likashamiri, kwani mwanamke baada ya ndoa aliangaliwa kama mali ya muoaji-Mr's property and hence Mrs X.Y.
Hivyo mwanamke kubaki na jina lake la mwisho/ukoo si kweli kunavunja ndoa au kunaifanya hiyo ndoa iwe less of a ndoa. After all haya mambo yameletwa huku kwetu na dini especially ya kikristo na ukoloni, kwani kama si kosei kwa waislamu swala la kubadili na kuchukua jina la mwisho/ukoo wa mume halipo.
Kwa mimi mwenye mabinti kwa kweli ningependa abaki na majina yake kwani naamini ni matendo yake na upendo wake kwa mumewe ndio utakajalisha zaidi na sio jina.