Je, kuna ukweli wowote ktk hili!??

Msisikilize ya walimwengu hawana wema, hawana wema hao! Mpatapo neno mlichuje, lililo jema liwe lenu! {source: christina shusho}
 
Wewe unampenda?
umechunguza tabia zake ukaona zinakufaa?
Kama anakufaa wewe oa.
mimi ninachojua ni hayo ni maneno tu ila kuwa makini maana wanawake wa kichaga ni watafutaji sana na wewe inabidi uige otherwise yatakua si mambo...

Mama D nimekuelewa, asante kwa ushauri wako
 
[Puppy;]
Ni zamani sana hiyo mambo.

Lakini to be on the safe side fanya hivi
1. Jitahidi sana mtoto wa kiume umpate baadae sana mama akishapungukiwa usichana.
2. Usinunue pick-up mapema..

Hilo nalo neno!!! Thank u
 
Wana Jf nawashukuruni sana kwa mawazo yenu, mheshimiwa puppy, na mama D ushauri wenu ntaufanyia kazi, lakini pia mkuu ejogo nimekuelewa vema, na MKAROLINA nimekupata vizuri, thanks to u all, tupo pamoja.!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom