Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Je kuna ukweli katika hili?
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke; akawa amepata ujauzito lakini motto akampeleka kwa Mwanaume mwingine ambaye mi nilikuwa simfahamu.
Baada ya mwaka mmoja wa motto kuzaliwa, motto akawa na tatizo la kulia usiku. Amepelekwa hospital na kupata majibu kuwa motto ana tatizo lolote. Ameamua kwenda kwa mama yake (bibi wa mtoto) kuulizia kama anaweza kupatiwa suluhisho la tatizo la mtoto. Huko kashauliwa ampeleke mtoto kwa Kalimanzila majibu ya Kalimanzila ni kwamba mtoto kapewa jina na mtu ambaye si baba yake. Eti baba yake ni mtu kutoka sehemu fulani (anataja sifa ambazo ni za kwangu)
Mwanamke huyo ameanza kunisumbua kwa simu eti aniletee mtoto . Kuna ukweli katika hili? Na je nifanyeje?