je kuna ubaya ku divert zawad ya mpenz wa zaman kupeleka makao mapya?

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
habar zenyu bana, wandugu kuna she flan nilimzimikia km miez 8 hv iliyopita, nikiwa ktk harakat za kumwonyesha namjal baada ya kutoka nae out km mara 3 hv, nilisafir kwenda mkoan nilipozaliwa wakat wa pasaka. Wakat wa kurud ktk eneo langu la tukio nikamwambia huyo mpenz wangu mtarajiwa nimletee zawad gan, yy aliniambia yeyote atakayo nivutia, mi nikarud zangu town nikajitosa nikamnunulia gaun ambalo nikiamin akilivaa na kusuka rasta za kimasai angetoka bomba sana. Cha ajab kila nikimwambia tukutane nimpatie zawd yake anapiga chenga, mpaka nikakata tamaa nikata kulichoma moto. Sasa nimepata mpenz mwingine of the same size, nipo nje ya mkoa j2 ndo narud na kaniomba zawad je kuna ubaya nikampatia lile gaun na elf 30 akasuke rasta za kimasai? Note economically nimekaa vibaya, nawakilisha
 
Hahahahahhaahaha
Mbona unang'ang'ania sana hizo rasta za kiMassai?Kama sio moja ya style anazopenda je?

Nwy nadhani sio vibaya ukimpa hilo gauni ikiwa bado lina upya wake na mwenyewe anaonekana anapenda aina hiyo ya nguo_Otherwise chukua hiyo 30 000 umnunulie kitu kingine tofauti na nguo.
 
gauni si ulichoma moto au kichwa yangu inaruka.

Inaelekea rasta za kimasai zinakulegeza kongoro, mpe akanunue mwenyewe gauni wanamme mna stail zenu hata kama nguo ni expensive inaweza isimkae yy bvizuri kutokana na shape yake.

rasta lazima asuke hata under gun point na mie ntasimamia hilo
 
mi napenda wasich akisuka rasta, gaun bado jiya coz sikuwah kulifanyia chochote, asante
 
gauni si ulichoma moto au kichwa yangu inaruka.

Inaelekea rasta za kimasai zinakulegeza kongoro, mpe akanunue mwenyewe gauni wanamme mna stail zenu hata kama nguo ni expensive inaweza isimkae yy bvizuri kutokana na shape yake.

rasta lazima asuke hata under gun point na mie ntasimamia hilo

gaun sikulitia moto, ila nitaka kufanya hivyo, mkuu tx
 
Mwache amshawishi msichana wake asuke rasta. He is so in to rasta hadi anaonekana anavyofurahi in advance binti atakavyopendeza.

Mie ngoja ntampeleka mwenge mama tusuke

Wewe unapenda ndio, je yeye anapenda?
 
the things we do for ladies....ebwana wee mpe hilo hilo kwa nni utumie pesa zaidi?
 
Wewe unapenda ndio, je yeye anapenda?

mi nahis anagenda ila anakimbia gharama, coz leo kanipigia akiniaga anaenda salun kusuka nilipomulizia km atasuka rasta akasema 1. Gharama sana. 2 zinahitaj kuwa na mda mwingi, nafikir nikimwezesha atasuka,
 
Mwache amshawishi msichana wake asuke rasta. He is so in to rasta hadi anaonekana anavyofurahi in advance binti atakavyopendeza.

Mie ngoja ntampeleka mwenge mama tusuke
Heheh huyo dada kamani mmoja wa wale wanaojua style zipi zinawatoa na hii sio moja wapo atakoma.Sijui ndo utakua mwanzo wa kunyang'anywa zawadi.
 
Heheh huyo dada kamani mmoja wa wale wanaojua style zipi zinawatoa na hii sio moja wapo atakoma.Sijui ndo utakua mwanzo wa kunyang'anywa zawadi.

linakaribiana na mengine anayovaaga.
 
he he he kama mnfukoni upo vibaya hamna haja ya kumnunulia zawadi nyingine mpe hilo gauni...ila sijui kama atafurahia akisikia kuwa mwanzoni lilikuwa kwaajili ya mwanamke mwengine...labda wakina dada watuambie kama italeta noma ukimwambia au uuchune tu
 
Aisee, aliposema Zawadi lazima iwe gauni?
Hapa ndo midume huwa tunachemka maana binti akikuambia Zawadi tu waanza kuhaha. Dada Zetu akikupenda kweli wewe pekee kurudi kwake ni zawadi Tosha.

Kama unampend a sikushauri umpe gauni ulilomnunulia mpenzi wako wa zamani ,kwa kuwa utakuwa unahamisha hisia (Sina uhakika kama za Chuki au za mapenzi) kutoka kwa zilipendwa kuja kwa huyu mpya.
Cha kufanya:
  1. Kwa kutambua umuhimu wa muda wa upendo mlospendi na yule mpenzi wako wa zamani naomba umpelekee gauni hilo kwa kuwa ilikuwa ni zawadi iliyotokana na upendo wako kwake. Mwambie ,'japo hatuko pamoja lakini gauni hili nilikununulia na naomba nitimize ahadi niliyoweka enzi za penzi letu'' It may sound ridiculous lakini hiyo ndo Busara katika Mapenzi, Kupishana kimtizamo ni jambo la kawaida lakini haifuti uhalisi wa hisia au Matendo mlofanya huko nyuma..Yalishaandikwa kwa wino usiofutika katika kitabu mlichojaribu kufunga wakati hujatimiza ukurasa wa mwisho wa kutoa zawadi.
  2. Kwa huyu wa sasa ,mtafutie zawadi nyingine. Usivalishe gauni linalotokana na 'Failure' zako za huko nyuma za kimahusiano. Waweza kuwa unapandikiza nyota ya failure kupitia ktk gauni
  3. Mwisho , Hongera mkuu wakati wengine tunalialia kusomesha watoto wewe bado unahonga mademu badala ya kutafuta mke mtulie msaidiane life. Usisahau kutumia Kondomu kila mkijamiiana
  4. I am out!
 
Back
Top Bottom