Je kuna sheria zozote ambazo zinawalinda wanafunzi?

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
94
6
Kuna shule ambayo rafiki yangu ana soma sasa kamaliza first year sasa anataka kuchukua second year hiyo shule ikamwambia kama wanaifunga shule coz hawana hela na course anayechukua ni btec na hiyo ni shule peke inafundisha hiyo btec hapa tanzania so hwezi kwenda shule ningine coz itambidi aanze upya je wanaweza kufanya hivyo na hiyo shule imejiandikisha serikalini
 
Kuna shule ambaya rafiki yangu anasoma zaza kamaliza first yar sasa anataka kucgukua secnd year hiyo shule inamwambia kama wanaifunga shule coz hawana hela na course anayechukua ni btec na hiyo ya kwanya inafundisha hiyo btec hapa tanzania je wanaweza kufanya hivyo na hiyo shule imejiandikisha

jaribu kujipanga vizuriu eleweke, maneno na mpangilio tafadhali.
 
Hapa hakuna remedy kupitia sheria ndugu yangu, ni kujipanga upya na kutafuta shule nyingine! Hata kama sheria ingekuwepo, huo muda atakaotumia ili kufuatilia mambo ya kesi ambayo hatakuwa na uhakika wa hata kushinda, unatosha kabisa kusoma na kupata digrii! Hiyo ndio Tz!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom