Je kuna mwanamke ambaye kwa dhati kabisa hataki kuolewa?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Kuna dada nafahamiana naye vyema sana. Baada ya kuachana na mvulana wake akajiapiza kuwa hataki tena mahusiano na mwanaume yeyote na akajiingiza kwenye vitendo vya kiusagaji kiasi kwamba wazazi mtaani wakawa hataki mabinti wao wamkaribie kwa hofu ya kuharibiwa na dada huyo.
Mungu mkubwa juzi jumamosi dada huyo kaolewa na kijana mzuri kabisa.
 
Wapo...ila kila amuzi lina sababu!!

Mtu anaweza sema hatokaa aoe/olewe akiwa ana maanisha kabisa kwasababu tu aliona ndoa ya mtu mwingie ilivyosababishia wahusika karaha.Ila kwa kushuhudia nyingine zenye mwelekeo mzuri akabadili mawazo kwa kuamini kwamba sio kila mtu anakua na bahati mbaya ndoani.
 
Kujiapiza ni kubaya sana. Watu wakiwa na hasira huwa wanaapa; afu wakiona wanazeeka bila wenza wanashangaa kumbe walimake "a deal with the devil." wameshau the promise. Utasikia 'mi hawa wanaume hawa; siolewi natafuta maisha yangu mazuri na enjoy'. Kweli wale walio single wana maisha mazuri sana tu but it reaches a point in life wanaanza ku realize what they are missing.
 
wapo tena wengi mno....

usisahau kuolewa au kuto olewa haimaanishi uwe single still

wapo wasiopenda harusi but wanataka kuwa na wenza
 
Nadhan hakun mtu mweny msimam usiobadilik hata iweje kwa jambo lolot lile hasa lisilo la kuvunj sheria
 
namashakaa msagajiii...msagwajiii,hawezi kuona laza ya mwanaume.labda huyo dada kaolewa kama kingaa ya macho ya watu ila akiwaa chobisi anakamua na wezake yani anaendeleza kuwa blendaaa anasaGAAA' urumaa kwa kijanaa na mashakaaa....usije kuta
Kuna dada nafahamiana naye vyema sana. Baada ya kuachana na mvulana wake akajiapiza kuwa hataki tena mahusiano na mwanaume yeyote na akajiingiza kwenye vitendo vya kiusagaji kiasi kwamba wazazi mtaani wakawa hataki mabinti wao wamkaribie kwa hofu ya kuharibiwa na dada huyo.
Mungu mkubwa juzi jumamosi dada huyo kaolewa na kijana mzuri kabisa.
 
ingekuwa sio swala la uchumi,na hofu ya kuwa wapweke uzeeni hivyo kuhitaji watoto ndoa zingekuwa chache mno wengi wanaolewa wapate security financially pamoja na watoto,huo ndio ukweli wanaooana out of love kama wapo ni wachache sana!
 
Back
Top Bottom