Je kuna kuna mwachuo aliyechaguliwa pasipo ombi lake?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,446
3,202
Katika kuongea na wadogo zangu kilimu nimepata kusikia mhitimu mmoja wa Kidato cha Sita akiilalamikia TCU kwa kumpeleka chuo na programu asiyopendekeza. Amedai ya kwamba amechaguliwa UDSM kusoma Sheria ilihali hajaomba kusoma Sheria katika Chuo chochote kile, pia hajaomba kusoma chochote UDSM.
Pia amedai ya kwamba kuna rafiki yake amechaguliwa IFM kusoma Computer ilihali hajasoma masomo ya Sayansi, yeye amsoma HGK.
Naomba kuuliza, je kuna mtu aliyechaguliwa kusoma chuo na kozi isiyo chaguo lake?
 
wapo tena wengi tu hamna mtu aliyeomba course ya computer science ifm ila wamechaguliwa zaidi ya 300 kwani kwenye guide book hakukuwa na course hiyo
 
Back
Top Bottom