Je Kuna kampuni zime block blogs zisionekane?

udongo

Member
Oct 28, 2010
14
0
Wadau tangu juzi nimekuwa nikipata shida kutazama baadhi ya blogs za TZ, je inawezekana kuna kampuni zimeblock zisionekane?? blog ya francisgodwin sasa ya issamichuzi au wenyewe wamezitoa ukumbini?
 
Blogs nyingi ziko slow sana sasa sielewi kunani au ndio wameanza kubana bandwidth ili kutransfer data zao
 
mi zinafunguka...may be ni network tu..try again

Kwa mfano me natumia Zantel kuna baadhi ya page za jamii nikizijibu unashanga ina stack kupost ni mpaka urudierudie kwa ujumla nadhani bandwidth imeminywa kupunguza mawasiliano kwa kasi
 
Back
Top Bottom