Je, kuna dawa ya kusafisha na kutibu meno yaliyooza?

Pole sana ndugu. Nashauri umwone Dentist akupe ushauri wa kitabibu. Ikishindikana tumia dawa inayoitwa Forever Bright tooth gel. Inapatikana kwa wasmbazaji wote wa Forever Living Products.

plz hata mie meno yangu ni mabovu sana, hiyo dawa inapatikana wapi? Tafadhari naomba msaada wako ndugu!
 
Mkuu dawa hii inauzwaje?. Inafanya kazi gani kwenye meno?

plz hata mie meno yangu ni mabovu sana, hiyo dawa inapatikana wapi? Tafadhari naomba msaada wako ndugu!

kwenye pharmacy ambazo ni members wa forever living na bei ni 13500 kama sikosei kweli hii dawa ni nzuri....meno yangu huwa yanafumuka tu yanauma nikitumia hii dawa yanapoa.

Kwani wakuu nyie mpo wapi?
 
Ingia chumvini
after weka argumentine dawa pembeni ule faster
utayapenda meno yako
 
Kwa wale watu wenye macho madogo....

kwenye pharmacy ambazo ni members wa forever living.......na bei ni 13500 kama sikosei........kweli hii dawa ni nzuri....meno yangu huwa yanafumuka tu yanauma.....nikitumia hii dawa yanapoa...........
kwani wakuu nyie mpo wapi......?
 
Lakini jamani wengi hawatilii maanani usafi wa kinywa na matokeo yake ni haya matatizo ya meno ambayo kwa kweli yameshika kasi hasa.

Njia mojawapo ni kipiga mswaki kwa njia sahihi, kutumia mswaki na dawa zifaazo (kuna ziko zina mwagwa kkoo na mwenge zinachomeka juani mwaka na nusu...hatari)

kingine ambacho wengi hatufanyi hadi meno yapekecheke ni kumwona dentist akusafishe meno walau mara mbili kwa mwaka. Muhimu sana.
 
La muhimu kuliko yote ni kumuona mtaalamu. Coz ayo mambo ya dawa anaweza jutumia mtu mmoja ikamsaidia but kwa mwengine ikawa tofauti.

Bora kumuona dentist kwa matibabu na ushauri zaidi hasa kwa suala lako inaonekana situation iko worse.
 
pole sana kitu ambacho watu hawakifahamu ni muda waku safisha kinywa muda ambao inatakiwa ni usiku inatakiwa uswaki baada ya kula na maana unapoacha kuswaki muda huo wa usiku yale mabaki ya chakula yaliyobakia kwenye fizi.

Yanatengeneza meno kuharibika njia ya pili hii baada ya kunywa chai piga mswaki na siyo kabla ya kunywa chai wengi upiga kabla kwasababu yakuondoa arudufu mbaya kwa wale waliopo arusha kuna clinic njiro sda inaitwa shalom dental sugery yanasafishwa yana jazwa unakuwa pouwa sana
 
kwenye pharmacy ambazo ni members wa forever living.......na bei ni 13500 kama sikosei........kweli hii dawa ni nzuri....meno yangu huwa yanafumuka tu yanauma.....nikitumia hii dawa yanapoa...........
kwani wakuu nyie mpo wapi......?

Nipo Dar ndugu yangu, asante kwa ushauri.
 
Nenda kwa dentist utapata kila kitu. ulizia kkwa watu wa karibu hosipitali ya meno ipo wapi utaambiwa
 
Mkuu dawa hii inauzwaje?. Inafanya kazi gani kwenye meno?

ni dawa inayosaidia kuimarisha fizi, kuondoa harufu mbaya, kuzuia fizi kutoka damu, pia ina bee propolis ambayo inasaidia kuua bacteria na vijidudu vyote na hungarisha meno.
 
Kwa kawaida tuna shauriwa tumuone dakitari wa meno kila baada mission sita kwa ajili ya checking pamoja na scaling namaanisha usafishaji wa kitaalamu wa kinywa na wengi Seth tumeeka akilini kwamba jino likiuma basi kinachotakiwa kutolewa uko ndo tulivyo jengeka kimawazo.

Lakini sawa tekinolojia zimekuwa meno yenye tundu yanafanyiwa uzibaji na uzibaji inategeme na tundu lenyewe kama lipokina sana nalinaleta utafanyiwa rootcanal tibayamizizi ambayo zinasafishwa canal sore mpaka zinakuwa safi ndo unazibwa na jino unalitumia kama awali tatizo jengine kutokwa na family kwenye fizi au ugaga wengine wamaita kalsiam holo tatizo na mengine hutokana na watu kutopiga mswaki vizuri na kupendelea kulavitu vya sukari
 
hii kitu kama nilishaisoma humu jf, hata hivyo baking soda inayotumika katika mandaz nk, tumia kublash kwa mswaki. kama ni rangi sana fanya x2 kwa siku, meno yatakuwa white kama ya mtoto ila haitibu inasafisha. ila uwe mvumilivu ina ladha mbaya.

una uhakika na hii kitu mkuu?
 
Back
Top Bottom